Saido Ntibanzokiza vs Benard Morisson, Manara alikuwa sahihi. Yanga tuna shida

Umeona ee! Mimi namuona kama mfurukutaji tu. Sijui kwanini Simba hawamfanyii substitution.
 

Ukiachana na ushabiki
BM3 akiwa kwenye form yake [emoji91]
 
Mie ananiboa mnoo, mabao mengi anatukosesha sana huyu, ajue kuwa anaipambania team sio kujipambania yeye.

Km fame atapata tyuuh muda ukifika. Lol
Anataka kuwa mchezaji maharufu ili apate timu URAYA!
 
Ukiachana na ushabiki
BM3 akiwa kwenye form yake [emoji91]
Akiwa kwaform mwezi mmoja miezi tisa hayuko kwa form,huyo sio mchezaji wa kutegemewa
 
Hii nayo ni hadithi tu....
Kawasaidia nini Yanga kimataifa?
Kwani mpira mnaangalia mkiwa mmelewa? Mechi zote alizocheza Morrison kimataifa akiwa Yanga, aliisaidia sana Yanga. Mechi dhidi ya Al Hilal, ni yeys ndiye kafanya kazi kubwa sana kule mbele ila wenzie wameshindwa kuzitumia nafasi alizotengeneza.
 
Akiwa simba sio akiwa yanga,hajawahi kuisaidia yanga
Msaada unaupima katika jambo lipi? Kuna mchezaji aliyemzidi Morrison kwa kufanya kazi kubwa kwenye mechi dhidi ya Al Hilal? Au umekariri msaada lazima kuufunga na kuu assist. Mchezaji anaweza kufanya kazi kubwa kutengeneza nafasi lakini wenzie wakashindwa kuzitendea haki
 
Morrison nidhamu tu nje ya uwanja ila kwa uwezo Morrison bora kuliko Saido,Morrison anaweza kuamua mechi kubwa yeye mwenyewe Saido hawezi. Karudie kutizama mechi ya Asec Mimosa na Kaizer Chief zilizo fanyika taifa ndipo utamjua Morisson na ile iliyofanyika Sudan, itizame kwa umakini.

Morrison nidhamu ya nje ya uwanja ndio inayo mwangusha.
 
Alifanya nini nikumbushe
 
Sijawahi ona faida yake huyo jamaa zaidi ya kuzurura tu

Anajikimbizisha halafu akiguswa anaanguka anguka ile ya kulilia refa…mimi pia bado sijamuelewa.

Kwa kina Mamelodie watoto walivyo na speed na touch za kufa mtu.

Huyu Saido sidhani kama anatufaa kwenye mipango ya kimataifa
 
Umeona ee! Mimi namuona kama mfurukutaji tu. Sijui kwanini Simba hawamfanyii substitution.
Yule ni kumuambia tyuuh ukweli ili ajirekebishee, mbna yuko vizuri sana, tatizo n uchoyo na ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…