Saido alikuwa kwenye mipango ya kuuza mechi kwa Simba ndio maana aliondolewa na viongozi wakampiga chini..... Saido alishakuwq kirusi mapemaaaa hata usajiri wake kwenda Geita ulikuwa geresha ndio maana baada ya geita kuelekea kucheza na Simba akalazimisha kupewa red card... Zeee halina akili hilo😅