OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umeanza kumfollow juzi saidoo,hii acc saidoo hajapost muda toka mwaka jana,angalia hii acc hata picha alizofunga akiwa na burundi national timu hivi hazipo,mfollow acc yake nyingine utaona hadi utaona picha zake za karibuni,saidoo sio chizi kama yule morrisonView attachment 1760099
Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido.
Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
Ana mkataba unaoisha jan mwakani,mikia full propaganda suala la muda tu watanyooka,utawala ushabadilika huuIna maana huko Yanga hana mkataba?
Kwani huu utawala haukuepo kipindi BM3 yuko utopolonAna mkataba unaoisha jan mwakani,mikia full propaganda suala la muda tu watanyooka,utawala ushabadilika huu
Aisee kama nalo ni kweli basi watani mmeamua.
Weka basi picha za kwenye hiyo account yake nyingine, tofauti na hii ambayo verified.Umeanza kumfollow juzi saidoo,hii acc saidoo hajapost muda toka mwaka jana,angalia hii acc hata picha alizofunga akiwa na burundi national timu hivi hazipo,mfollow acc yake nyingine utaona hadi utaona picha zake za karibuni,saidoo sio chizi kama yule morrison
Wanini huyo mzee?Kwaiyo unataka kusema Saido anawaniwa na Simba Mabilioni Sports Club?
Mkataba gani hua unalazimisha kuweka picha ya club yako unayotumikia?Ina maana huko Yanga hana mkataba?
Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.Wanini huyo mzee?