Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20210422-073714_Chrome.jpg

Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido.

Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
 
View attachment 1760099

Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido.

Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
Umeanza kumfollow juzi saidoo,hii acc saidoo hajapost muda toka mwaka jana,angalia hii acc hata picha alizofunga akiwa na burundi national timu hivi hazipo,mfollow acc yake nyingine utaona hadi utaona picha zake za karibuni,saidoo sio chizi kama yule morrison
 
Kimenuka wachezaji wanaishi kwa mikopo, utopolo kila mtu kocha
 
Saido Kaonyesha nidhamu mbaya kwa Kocha mpya. Kukaa benchi ni kitu cha kawaida sana. Mbona Nonda Shabani alisugua benchi mbele ya Mohamed Husein kisha akaja kutoboa?.

Naona ni kama anahasira za kutimuliwa Kocha aliyemleta Bongo - Kaze, kama vipi aje huku Azam azibe nafasi ya Prince Dube anaejiunga Msimbazi mwakani.
 
Umeanza kumfollow juzi saidoo,hii acc saidoo hajapost muda toka mwaka jana,angalia hii acc hata picha alizofunga akiwa na burundi national timu hivi hazipo,mfollow acc yake nyingine utaona hadi utaona picha zake za karibuni,saidoo sio chizi kama yule morrison
Weka basi picha za kwenye hiyo account yake nyingine, tofauti na hii ambayo verified.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo unataka kusema Saido anawaniwa na Simba Mabilioni Sports Club?
 
Wanini huyo mzee?
Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.

Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!
 
Back
Top Bottom