Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Sarpong....... 😀Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.
Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!
Unaweza kumlingasha Mugalu na lile tutusa lenu Sarpong?Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.
Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!
Kabisa hawezi pata nafasi paleHuyo simba hatuchukui
Kwamba yanga itaendelea kuwa Yanga, hata bila watu sio? [emoji23]1Yanga ni zaidi ya huyo Saidoo! Ni zaidi ya Msolla, ni zaidi ya GSM, ni zaidi ya mashabiki.
Kwa hiyo unampinga Hans Pope!!Huyo simba hatuchukui
Yaani bila hata watu, Yanga itadumu milele!Kwamba yanga itaendelea kuwa Yanga, hata bila watu sio? [emoji23]1
Subiri Mei 8, uone tutakavyo kula hiyo biriani mtakayo tupikia.Wakutoa wachezaji ni nan!!? Wewe wa matopeni fc mkuu!!? Timu yako yote sioni mchezaji anayestahili kucheza robo fainali akiwa na uzi uliandikwa visit Tanzania
Ningekuwa mimi ndiye Msolla, ningemtimulia mbali huko pamoja na yule mwenzake Fiston.Mrundi atawapanda kichwani utopolo na hamna cha kumfanya na mtamuomba msamaha kama kwa Morrison.
Saido ni zaidi ya utopolo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kakolanya, Gadiel, Morrison, Ajibu wamepata nafasi? Nyie si zoa zoa tu!Kabisa hawezi pata nafasi pale
🤣🤣🤣🤣 yani huyu mrundi watamuomba hadi msamaha ndo matatizo ya timu kuwa omba omba ingekuwa na pesa yule angesugua bench hadi akili imkae sawa.Ningekuwa mimi ndiye Msolla, ningemtimulia mbali huko pamoja na yule mwenzake Fiston.
Kama Simba wanataka kumsajili Ntibazonkiza wamepotea sana.
Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido.
Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
Sometimes Simba na Yanga wanachukuliana wachezaji kuonyeshana umwamba tu na kumtia mpinzani wako stress,hili lipo tangia enzi na enzi kwa hawa watani wa jadi.Wanini huyo mzee?
SARPONG, FISTON na NCHIMBI wana magoli mangapi kwa Pamoja?Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.
Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!