tatizo la @Oozg Tz huyu mwamba hakua na pesa hapo awali alipozipata za kumudu mahitaji yake ya hapa na pale marafiki nao wakajitokeza wa kumpa kampani akajikuta maisha yanarejesha amani yakeNaishi nayo hvo hvo,furaha yangu kwasasa nikuona naweza fanya chochote hasa inshu ndogo ndogo znazohusiana na pesa
tatizo alikua anakunywa na nani, na alikua anakunywa wapi.. kuna company ukienda kunywa nazo liquid,kidimbwi boardroom n.k huwezi jiua trust me!Hapana. Kuna jamaa yangu alikuwa na depression ya aina hiyo. Akiona watu wamebeba jeneza anatamani sana angekuwa yeye mle ndani, akiona kichaa amejilalia stendi, anamtamani sana! Akajaribu kutumia pombe Kali, halo ndiyo ikawa inakuwa mbaya zaidi, maana ilikuwa inampa courage ya kujiua!
Sasa aliponajeHapana. Kuna jamaa yangu alikuwa na depression ya aina hiyo. Akiona watu wamebeba jeneza anatamani sana angekuwa yeye mle ndani, akiona kichaa amejilalia stendi, anamtamani sana! Akajaribu kutumia pombe Kali, halo ndiyo ikawa inakuwa mbaya zaidi, maana ilikuwa inampa courage ya kujiua!
Kuwa mubaasharaKuwa alive ndo kuwaje?
Yeye hakupenda company! In actual fact, nilipogundua hali hiyo nilijitahidi sana sana kuwa karibu naye. He was my friend, na alinipenda sana! Na from that, alipotaka kwenda sehemu yoyote alinipigia simu tunakwenda pamoja? The situation subsided! Thank God!tatizo alikua anakunywa na nani, na alikua anakunywa wapi.. kuna company ukienda kunywa nazo liquid,kidimbwi boardroom n.k huwezi jiua trust me!
see!? tatizo lilikua hapo, upweke, pombe na company hua inafukuza upweke kwenda makilometa huko..Yeye hakupenda company! In actual fact, nilipogundua hali hiyo nilijitahidi sana sana kuwa karibu naye. He was my friend, na alinipenda sana! Na from that, alipotaka kwenda sehemu yoyote alinipigia simu tunakwenda pamoja? The situation subsided! Thank God!
Kwasasa nmesitisha,maana familia yangu(baba,mama,Dada na wadogo zangu wananifatilia sana)kunywa pombe.
ila vijana chamoto kubwa ambayo inatusumbua kiasi kwamba kila dk uikumbuke ni mapenzi. vp na we unaptia changamoto ya mapenzi?Karibuni tupeane ushauri mbalimbali.
Hapana ndugu kuna mambo niliyatarajia lakini yamegoma kabisa ni ya kimaisha tu.ila vijana chamoto kubwa ambayo inatusumbua kiasi kwamba kila dk uikumbuke ni mapenzi. vp na we unaptia changamoto ya mapenzi?
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Nimekuwa nikiwaza sana, kuna watu wengi Hayati Dkt. Magufuli alitugusa moja kwa moja kwenye maisha yetu. Kifo chake kilikua jambo la ghafla na binafsi sikutegemea. Kuna hali ya mauvmivu na kukata tamaa naihisi katika uwepo wangu.
Je nifanyeje ili nirudi kwenye hali ya awali na nichape kazi bila huzuni? Mbaya zaidi ni kuona na kusikia watu wengine wakimsema vibaya kupitiliza hayati Dkt. Magufuli, ndio nakata tamaa zaidi.
Najua kuna walioumia wakati wa uongozi wake, ni sawa kabisa kusema yao ya moyoni, lakini kweli hakuna wa kumtetea Dkt Magufuli kweli?
Kama mtu niliepata msiba wa mtu muhimu kwangu nifanyeje ili hali yangu ya afya ya akili irudi kama awali? Natanguliza shukrani.