Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Mm mawazo yanaingia kiatomatiki na yanaondoka kiatomatiki [emoji41][emoji41]
 
Wakuu JF........ Ahsanteni kwa hatua hii ya kuwadirect watu wenye matatizo kama mtoa mada ya kuwa ana stress.......... Ni hatua kubwa sana kwa ajili ya ktusaidia katika maisha yetu.

Ninawaomba mradi mna address za watu kama hawa , muwe na utaratibu wa kumcheck - whether kwa simu au E-mail ili kuhakikisha kuwa bado yupo na elimu aliyoipata katika ushauri huu imemsaidia (kama hamna lakini).
 
Yeremia 29:11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

Bado kuna tumaini juu ya maisha yako
Kuna kipindi unapitia kigumu lakini MUNGU bado anakupenda saana saana saana saana

Na nikupe siri hakuna hali ngumu ambayo itakaa juu yako Milele kama ukiamua kuikataa
 
Mambo yananizonga ...msongo wa mawazo ....kichwa kizito eh MUNGU ulieniumba nichukue nipumzike na mateso haya
Usijali kabisa mkuu, sasahiv pambana tu kila mtu anapitia kipindi kigumu Sahiv. Jipe moyo utashinda tu
 
Salaam wakuu..Nina tatizo la kuwa bored na kuwa alive tatizo linaweza kuwa ni nini?..NB..kipato cha kawaida skosi kwa siku
 
Back
Top Bottom