Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Very interested, huyu jamaa anataka kutia huruma lakini anatakiwa apambane sana.

Mwenyewe niliwahi kuumia sana baada ya kuanguka kiuchumi tena sio kwamba Hata nilikuwa nazo nyingi, akili iliruka nikahama kutoka mjini nikarudi kijinini baada ya miezi 9 nilirudi mjini nikiwa mpya. Nilikuwa na kunywa pombe na bangi kama mwehu. Lakini nilirudi kiakili maisha sahivi ni fresh.
Sio kwamba jamaa anataka kutia huruma bali anataka kufanya maamuzi hayo kutokana na hali aliyo nayo akilini kwa sasa/yaani unavyofikiri sivyo anavyofikiri yeye.
Kwa lugha nyepesi jamaa amekata tamaa na kinachotakiwa ni apate kazi itakayomuingizia kipato au atiwe moyo pamoja na kupewa ushauri hasa na watu waliowahi kupitia hatua aliyoko sasa au madaktari maalum kwa ajili ya watu wa aina yake.
 
tafuta elfu 20. nenda kanunue njegere zimenye ziweke kwenye mifuko midogo transparent(unazipa thamani) . anza kuzungusha.. baada ya mwezi nitafute..
ila ukiendelea kulala ndani.. hujichanganyi na watu.. una hela ya bando.. utakuja kujiua kweli
Fuata ushauri huu mzuri sana,usipigie hesabu vitu vikubwa sana,nimemuona mama mmoja juzi anahojiwa TBC1,anauza maembe kwenye sinia,embe ananunua 300,anauza 700 mpk 800,kwa siku anapata mpka 10,000 faida,kwahiyo nakushauri toka pambana ukikaa ndani hutapata ufumbuzi wa tatizo lako...
 
Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate

Nipeni msaada kimawazo
Kazi zipo nyingi ( binafsi nina biashara mbili tatu) lakini vijana wa kufanya kazi hakuna......ni porojo na wizi mtupu.....mfano hai...kwa sasa nimewaambia vijana wawili warudishe IST na wapaki nyumbani ambazo walikuwa wanafanya kazi za Uber/Bolt sababu hawaeleweki,gari zinaumia hela haionekani........pia nina stock ya maji (mimi ni wakala) ya kunywa ya kuuza mitaani , nina stock ya sabuni za bei rahisi ( nina kiwanda kidogo natengeneza mwenyewe)lakini sijui tatizo nini manake hakuna kijana aliye serious kufanya hizi kazi ....sijaona ...nakushangaa unalia lia humu ila mkipewa kazi hamueleweki
 
Niamini nitafute tufanye kazi unachukua watu kwa kujuana akiharibu unaona poa chukua MTU mwenye nia dhati ya kazi take 0674709210
 
Tatizo sio kukosa kazi mkuu ila tatizo ni akili!
Nakumbuka niliwahi kunywa sumu sababu ikiwa ni mtaji wangu kupungua kwa asilimia 75% kwa ghafla kitu ambacho ningeweza kuendelea kwa uhakika kwa kutumia ile 25% iliyobaki.

Ilibaki kidogo nife lakini nikapona na bado nikafanya majaribio mengine sikufa.
Leo hii hata ile 25% sina lakini sioni sababu ya kujiua sababu nimeshabadilika kiakili,,,, nina mtoto ambae anatakiwa kuanza shule, mama kabakiza miezi miwili ajifungue na bado hali ni tete ila swala la kujiua naliona kichekesho sababu nimejifunza mengi na naamini nitapata mlango wa kutokea tu!

Hali niliyo nayo sasa kiuchumi ungekuta ndio niliyoifikia kipindi hicho nilichotaka kujiua nadhani ningekuwa nimeshakufa sababu nisingekunywa sumu tu bali ningejitundika au ningejitupa kwenye Scania.

Mkuu kama upo bachela na unaishi hapa mjini, jaribu kwenda kijijini ukatulie mwezi mmoja utarefresh akili na kupata mwanga mpya.

Ukishindwa kuyaendesha maisha fanya kuyaacha yakuendeshe kwa kipindi kifupi ili uyaelewe na baada ya hapo ukifurukuta lazima uchomoke! Mwenzako nilishawahi hadi kujiect kichaa kwenye miji ya watu ili niishi
Hapo ukichaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti maisha yakuendeshe ili uyaelewe[emoji23][emoji23] .

Maisha ukienda nayo ovyo yanakufuc......asubh tu.
 
Back
Top Bottom