Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Pole sana mtafute mwanasaikolojia yuko humu anaitwa Psych counselor atakusaidia nenda mcheck PM mkuu. Be serious utapona aliwahi kuwasaidia wengi tu.
 
Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate

Nipeni msaada kimawazo
Tatizo mwenzio alisaidiwa akadhulumu.
Kuamini mtu DUNIA HII ni kaziii na hasa kwenye pesa.

#YNWA
 
mchongo:

nenda sokoni kanunue mbegu za mboga mboga tofauti tofauti kwa kilo, kisha zipange kwenye vipakti vidogo vidogo uuze kwa sh. 200 kila kimoja. hakikisha unatembeza majumbani kuuza hizo mbegu zako baada ya muda utakuja hapa kunipongeza.

(huu mtaji hauzidi 50000)

usijiue, chukulia kama changamoto ni sehemu ya kufikia mafanikio yako kiuchumi.
 
Ndugu zangu halo ngumu kwa upande wangu maisha yamekuwa magumu sina wa kunisaidia

Nakesha kitandani kulala nimehangaika kutafuta kazi sijapata Nina elimu certificate

Nipeni msaada kimawazo

Jaribu kukaa na watu eleza yaliyo moyoni yasije kuwa sumu mbeleni
 
Tatizo sio kukosa kazi mkuu ila tatizo ni akili!
Nakumbuka niliwahi kunywa sumu sababu ikiwa ni mtaji wangu kupungua kwa asilimia 75% kwa ghafla kitu ambacho ningeweza kuendelea kwa uhakika kwa kutumia ile 25% iliyobaki.

Ilibaki kidogo nife lakini nikapona na bado nikafanya majaribio mengine sikufa.
Leo hii hata ile 25% sina lakini sioni sababu ya kujiua sababu nimeshabadilika kiakili,,,, nina mtoto ambae anatakiwa kuanza shule, mama kabakiza miezi miwili ajifungue na bado hali ni tete ila swala la kujiua naliona kichekesho sababu nimejifunza mengi na naamini nitapata mlango wa kutokea tu!

Hali niliyo nayo sasa kiuchumi ungekuta ndio niliyoifikia kipindi hicho nilichotaka kujiua nadhani ningekuwa nimeshakufa sababu nisingekunywa sumu tu bali ningejitundika au ningejitupa kwenye Scania.

Mkuu kama upo bachela na unaishi hapa mjini, jaribu kwenda kijijini ukatulie mwezi mmoja utarefresh akili na kupata mwanga mpya.

Ukishindwa kuyaendesha maisha fanya kuyaacha yakuendeshe kwa kipindi kifupi ili uyaelewe na baada ya hapo ukifurukuta lazima uchomoke! Mwenzako nilishawahi hadi kujiect kichaa kwenye miji ya watu ili niishi
 
Aiseeee[emoji848] pole sana kiongozi.
 
Very interested, huyu jamaa anataka kutia huruma lakini anatakiwa apambane sana.

Mwenyewe niliwahi kuumia sana baada ya kuanguka kiuchumi tena sio kwamba nilikuwa nazo nyingi, akili iliruka nikahama kutoka mjini nikarudi kijinini baada ya miezi 9 nilirudi mjini nikiwa mpya. Nilikuwa na kunywa pombe na bangi kama mwehu. Lakini nilirudi kiakili maisha sahivi ni fresh.
 
Back
Top Bottom