Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Only God is a comforter...ukisikiliza nyimbo ukimuomba unapata ahuen stress zinaisha ukimweleza shida zako anamaliza
 
Hapa kwenye kusali ufanisi unakua mdogo kama msongo unakua mkubwa

Hapana siyo kweli.
Kuomba kunatanguliwa na kumsifu Mungu; unaweza ukachukua Tenzi za rohoni au nyimbo za injili ukamwomba Mungu.
Zaidi ya hayo unaweza ukaomba msaada wa maombezi kwa ndugu, jamaa na rafiki; Au watu wa Mungu wakakufanyia dua.

NB: Yesu wakati amekumbwa na msongo wa mawazo kabla ya kusulubiwa alimwomba Mungu amtie nguvu hadi jasho la damu likamtoka. Mungu alimtia nguvu kwa kupitia Malaika wake hivyo hata wewe kama una tatizo wewe jaribu kuomba kwa imani, ni lazima utapata amani kubwa moyoni hata kama utakuwa kwenye shida kubwa. (Try this technique it works great miracles; I promise you)
 
Melania+20170213_003012.jpg
 
Naenda beach nakaa peke yangu navuta bangi joint kama nne hivi then natulia naangalia bahari nikitoka hapo nakua mpya kabisa kama ni dili imekwama napata solution na kama tuligombana nasahau nakuchangamkia kwa amani kabisa!
 
Sex inatosha ila kama mbebe ndio sababu ya stress basi movies za comedy, beach na kufurahi na jamii.
 
Napataga mda mzur wa ku think foward about my futuer life
 
Kama mimi ..maku ndo dawa yangu ya stress ila pia huongezeka anapokuchuna
 
Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
 
Back
Top Bottom