Oooooh mama Nasania dean of students aisee kitambo sana nasikia huyu mama alishaacha sijui yupo wapi kwa sasa sina uhakika sana ngoja waje wadau watuthibitishie kama yupo au hayupo
safi sana mkuu..nimekaa kwa masha.. gim pale kwa babu chini kidogo hostel mpya inaitwa kilimanjaro..kumbukizi hii ni nzur snaDuuuh memory nzuri sn mkuu, Kitima alikuwa mbabe hatarii, yaani hata sisi aliwahi kutuzingua kuhusu namba kwakosalakutokumalizia fees, kumbe umeishi dafull mie nilikuwa sweya then nikahamia maeneo ya quick choice maeneo ya manyara sehemu inaitwa kwa masha, palikuwa pazuri sn hostel zimetulia kadhalika na gym ikafunguliwa basi ilikuwa burudani tupuu
Mademu shazi full kujiseviaIna maana nowadays mademu darful ruksa kukaa??????
Bila kusahau Pro LifeUnaweza uka-assess ubora wa chuo kwa kufuatilia watakayokuwa wanaongelea graduate na wanafunzi waliopo pale.
Bado ipo vile vile kama ulivyoiachaDah nyie wana mnanikumbusha mbali sana.
Niligraduate SAUT 2015, ingawa graduu ilifanyika Jan 2016. First year nilikaa pale Mikumi B Room No. 14 Gym kwa Babu nlihudhuria asee. Second mpaka 3rd year niliishi pale Vanessa. Dah kulikuwa ka kuna mashindano ya Subwoofer wazee.
Hivi kwa walioko Malimbe, kuna ile hostel ilijengwaga ghorofa ka 3 hivi njiani ukiwa unaenda kwa Masha, vipi, ilikuja kuendelezwa?
Dah asee niliingiaga kukodoa macho tu. Jamaa alikuwa na dream nzuri sana. Hasa hasa namna alivyoplan vyumba viwe, vitanda vya chini,. Sema sijui hata ni nini kilimsimamisha ujenzi wa lile ghorofa.Bado ipo vile vile kama ulivyoiacha
Darful duuu... Kweli saut kutakua kumechangeNdio mkuu na zimekarabatiwa fresh sana kumejengwa canteen ya kisasa
Kume change sanaaaaaa mkuuDarful duuu... Kweli saut kutakua kumechange