Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Jamani mama Scholastica Nasania yupo?
Oooooh mama Nasania dean of students aisee kitambo sana nasikia huyu mama alishaacha sijui yupo wapi kwa sasa sina uhakika sana ngoja waje wadau watuthibitishie kama yupo au hayupo
 
Oooooh mama Nasania dean of students aisee kitambo sana nasikia huyu mama alishaacha sijui yupo wapi kwa sasa sina uhakika sana ngoja waje wadau watuthibitishie kama yupo au hayupo

Nakumbuka alikua na sehemu yake alijenga shule tulikaa hapo first year kabla haijawa shule kamili...yule Mzee aliyetufundisha French nasikia alifariki.
 
Nakumbuka alikua na sehemu yake alijenga shule tulikaa hapo first year kabla haijawa shule kamili...yule Mzee aliyetufundisha French nasikia alifariki.
Ndio yule Mzee wa French alitanguli mbele ya haki, mkuu
 
Haya haya wale wenye vimeo supp, carry, alafu hamkugraduate msife moyo SAUT ipo kwa ajiri yenu
 
Haya haya wale wenye vimeo supp, carry, alafu hamkugraduate msife moyo SAUT ipo kwa ajiri yenu
Mkuu vimeo kuvimalizia tayari walishafanya hapo kama hukukitoa unabeba hadi mwakani unaanza upya duuh
 
Duuuh memory nzuri sn mkuu, Kitima alikuwa mbabe hatarii, yaani hata sisi aliwahi kutuzingua kuhusu namba kwakosalakutokumalizia fees, kumbe umeishi dafull mie nilikuwa sweya then nikahamia maeneo ya quick choice maeneo ya manyara sehemu inaitwa kwa masha, palikuwa pazuri sn hostel zimetulia kadhalika na gym ikafunguliwa basi ilikuwa burudani tupuu
safi sana mkuu..nimekaa kwa masha.. gim pale kwa babu chini kidogo hostel mpya inaitwa kilimanjaro..kumbukizi hii ni nzur sna
 
Dah nyie wana mnanikumbusha mbali sana.
Niligraduate SAUT 2015, ingawa graduu ilifanyika Jan 2016. First year nilikaa pale Mikumi B Room No. 14 Gym kwa Babu nlihudhuria asee. Second mpaka 3rd year niliishi pale Vanessa. Dah kulikuwa ka kuna mashindano ya Subwoofer wazee.

Hivi kwa walioko Malimbe, kuna ile hostel ilijengwaga ghorofa ka 3 hivi njiani ukiwa unaenda kwa Masha, vipi, ilikuja kuendelezwa?
 
Bado ipo vile vile kama ulivyoiacha
 
Bado ipo vile vile kama ulivyoiacha
Dah asee niliingiaga kukodoa macho tu. Jamaa alikuwa na dream nzuri sana. Hasa hasa namna alivyoplan vyumba viwe, vitanda vya chini,. Sema sijui hata ni nini kilimsimamisha ujenzi wa lile ghorofa.
 
Dah huu uzi umenikumbusha hostel za dafur kipindi iko ilikua ni balaa kwa matukio ya mitungo
Daaah hii habari kidogo pevu, hebu tupe undani ilikuwaje mkuu
 
Back
Top Bottom