Hahah nowadays yupo NMB? Basi maisha hayatabiriki kabisaDarful imekua hostel ya mademu?? Darfull tulikua tunaishi maisha ya tandale kabisa! Kuna Jamaa alikua anaitwa Ibra! Anakuja kwenye menu yako anaanza kula bila ya karibu! Mchizi alikua na life lakuunga unga sana! But chuo alimaliza now yupo Nmb ni boss mkoja hv
Fr. Maziku na makeke yake yote kipindi hicho ndio bado mgeni mwaka 2009 alitengeneza team yake ha Eduche bhana weee...PR mbwembwe hahah nakumbuka mashindano ya FAWASCO PR na Sociology walikuwa na mbwembwe nyingi Sana sie father Maziku alitueleza tuache mbwembwe nyingi tucheze mpira tukashika nafasi ya pili
Mlitisha sanaa kiukweli ila hata sisi hatukuwa mbali kwa football tamu ya kufundishwa eduche hahahaIlifika mahali kwenye Fawasco kipindi hicho Fr kitima (VC) akasema mechi za Baso katika siku husika ziwe zinachezwa za mwisho manaake ilikuwa mechi zetu zikitangulia basi baada ya mechi tu kuisha tunaondoka na mziki na burudani zetu zote tunaenda Tj (pale nyegezi corner) kuendeleza bata la baso basi kama kuna mechi inafata uwanjani kunadorora manaake hakuna tena mziki wala burudani uwanja unapooza.
Alafu by that time mechi za Fawasco zilikuwaga zinafanyika pale uwanja wa seminary. Raila odinga grounds ulikuwa bado.
Anyways maisha yalikuwa mazuri ukijumlisha na ujana. Kipindi hicho ukipangiwa hostel za darfur dah.. yaani zilikuwa hostel za kibabe sana hizo. Watoto wa nganza sasa...
Hahaha dah umediscribe vizuri sana......sijui kama hizo mbwembwe hadi leo zipo?Ilifika mahali kwenye Fawasco kipindi hicho Fr kitima (VC) akasema mechi za Baso katika siku husika ziwe zinachezwa za mwisho manaake ilikuwa mechi zetu zikitangulia basi baada ya mechi tu kuisha tunaondoka na mziki na burudani zetu zote tunaenda Tj (pale nyegezi corner) kuendeleza bata la baso basi kama kuna mechi inafata uwanjani kunadorora manaake hakuna tena mziki wala burudani uwanja unapooza.
Alafu by that time mechi za Fawasco zilikuwaga zinafanyika pale uwanja wa seminary. Raila odinga grounds ulikuwa bado.
Anyways maisha yalikuwa mazuri ukijumlisha na ujana. Kipindi hicho ukipangiwa hostel za darfur dah.. yaani zilikuwa hostel za kibabe sana hizo. Watoto wa nganza sasa...
Nakumbuka mkuu Mimi nilikuwa mmoja wa wachezaji wa eduche Mpira wetu eduche v/s basso ulikuwa wakipekee sana utakumbukwa daimaFr. Maziku na makeke yake yote kipindi hicho ndio bado mgeni mwaka 2009 alitengeneza team yake ha Eduche bhana weee...
Fainaili(Fawasco) tukakutana Eduche Vs Baso hapakutosha kabisaaa. Ulipigwa mpira mmoja wa hatari haijatokeaga. Ila mwisho wa siku Fr Maziku na team yake (Eduche) walikalishwa Baso tukabeba ndoo yetu.
Dah...Hahaha dah umediscribe vizuri sana......sijui kama hizo mbwembwe hadi leo zipo?
Dah..Nakumbuka mkuu Mimi nilikuwa mmoja wa wachezaji wa eduche Mpira wetu eduche v/s basso ulikuwa wakipekee sana utakumbukwa daima
Hahahah nyie mlitisha aise....sio kwa mbwembwe hizoDah...
Zimebaki simulizi tu sasa hivi..
Kambi yetu ya Fawasco tulikuwa tunakaweka swea chimbo moja lilikuwa linaitwa gonzalez.
Kwenye parties sasa Baso tulikuwaga tunafunika sana hata ikatokeaga biff na watu wa Mascom.
Nakumbuku kwa jinsi madem wa Baso walivyokuaga wanajua kutupia vitu (mavazi) basi jamaa wa Mascom wakawa wanatuonea wivu hadi wakipa marufuku madem zao wa Mascom kutongozwa na majamaa wa Baso.
Imebaki story..Hahahah nyie mlitisha aise....sio kwa mbwembwe hizo
HahahahaImebaki story..
Ila kwa pombe sasa.., Baso ilikuwa na walevi haijawahi tokea.
Nenda kasome mm nimemaliza Saut mwanza public relations and marketing French ni lazima, utasoma uchumi kidogo utasoma photo jornalism. Angalizo jitahidi uwe unaenda radio Saut ujiongezee nafasi ya kufanya kazi redioni kama presenter mbali na kuwa Radio program manager.Nimechaguliwa hapo saut public relation and marketing
Nashukuru kwa taarifaNenda kasome mm nimemaliza Saut mwanza public relations and marketing French ni lazima, utasoma uchumi kidogo utasoma photo jornalism. Angalizo jitahidi uwe unaenda radio Saut ujiongezee nafasi ya kufanya kazi redioni kama presenter mbali na kuwa Radio program manager.
Mixer mzee kule epa ndo kuna mademu alafu jengo lakati na jamaica nakule mortuary ndo maselaDarful imekua hostel ya mademu?? Darfull tulikua tunaishi maisha ya tandale kabisa! Kuna Jamaa alikua anaitwa Ibra! Anakuja kwenye menu yako anaanza kula bila ya karibu! Mchizi alikua na life lakuunga unga sana! But chuo alimaliza now yupo Nmb ni boss mkoja hv
Ndio mkuu na zimekarabatiwa fresh sana kumejengwa canteen ya kisasaIna maana nowadays mademu darful ruksa kukaa??????
Nimecheka sana, sijui kama Muduma bado yupo pale? Maana nakumbuka alimzingua dogo mmoja alikosea chumba cha mtihani akawa anayosha mkono ili atoke nje mduma anakataa, dogo ikabidi aanze kuliaDaaah ,,,,nakumbuka siku ya kwanza ya vipindi pale saut nilipotea sana madarasa ....mbaya ZAIDI sikuudhuria orientation ...na ratiba inanichanganya.
Nimesoma na LLB 3/MARAKADHAA.
KARIBUNI TULIJENGE JIJI LA MUNGU.
Aiseeeee! Mbona kipindi chetu hawakutupa offer hii?? Mademu kukaa nao karibu like that,kipindi chetu wangerudi kwao wote kina mama!Mixer mzee kule epa ndo kuna mademu alafu jengo lakati na jamaica nakule mortuary ndo masela
Hatari sana wadada walikuwa wanajua sn kutupia mkuu yaani ilikuwa balaa, utafkiri mashindano ya mavazi Hahah mlitishaa mkuuDah...
Zimebaki simulizi tu sasa hivi..
Kambi yetu ya Fawasco tulikuwa tunakaweka swea chimbo moja lilikuwa linaitwa gonzalez.
Kwenye parties sasa Baso tulikuwaga tunafunika sana hata ikatokeaga biff na watu wa Mascom.
Nakumbuku kwa jinsi madem wa Baso walivyokuaga wanajua kutupia vitu (mavazi) basi jamaa wa Mascom wakawa wanatuonea wivu hadi wakipa marufuku madem zao wa Mascom kutongozwa na majamaa wa Baso.
Nikweli kulikuwa na jamaa middle yetu anaitwa mlingwa beki Fazo hatari sana kipa wetu masala kaka ilitishaa nyie mlishinda kwa sapoti ya mashabiki wenu plus masister duu wenuDah..
Mkuu Eduche walikuwa balaa usipime sema watoto wa Baso kujituma sana kulitufanya tuwakalishe Eduche. Alafu matunzo mazuri ya wachezaji wa Baso toka kwa Bitulo yaliwafanya wachezaji wasahau taabu zao.
Yaani wao kula pizzer, ma~bagger, michemsho etc, etc kwa kila mchezaji daily ilikuwa jambo la kawaida sana.
Fr. Maziku hatawasahau Baso wa kipindi hicho (2009). Sema nini kulikuwa na team nyingine balaa ya cheti (certificate) sema walitoka mapema nusu fainali nadhani.