Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Darful imekua hostel ya mademu?? Darfull tulikua tunaishi maisha ya tandale kabisa! Kuna Jamaa alikua anaitwa Ibra! Anakuja kwenye menu yako anaanza kula bila ya karibu! Mchizi alikua na life lakuunga unga sana! But chuo alimaliza now yupo Nmb ni boss mkoja hv
Hahah nowadays yupo NMB? Basi maisha hayatabiriki kabisa
 
PR mbwembwe hahah nakumbuka mashindano ya FAWASCO PR na Sociology walikuwa na mbwembwe nyingi Sana sie father Maziku alitueleza tuache mbwembwe nyingi tucheze mpira tukashika nafasi ya pili
Fr. Maziku na makeke yake yote kipindi hicho ndio bado mgeni mwaka 2009 alitengeneza team yake ha Eduche bhana weee...

Fainaili(Fawasco) tukakutana Eduche Vs Baso hapakutosha kabisaaa. Ulipigwa mpira mmoja wa hatari haijatokeaga. Ila mwisho wa siku Fr Maziku na team yake (Eduche) walikalishwa Baso tukabeba ndoo yetu.
 
Ilifika mahali kwenye Fawasco kipindi hicho Fr kitima (VC) akasema mechi za Baso katika siku husika ziwe zinachezwa za mwisho manaake ilikuwa mechi zetu zikitangulia basi baada ya mechi tu kuisha tunaondoka na mziki na burudani zetu zote tunaenda Tj (pale nyegezi corner) kuendeleza bata la baso basi kama kuna mechi inafata uwanjani kunadorora manaake hakuna tena mziki wala burudani uwanja unapooza.

Alafu by that time mechi za Fawasco zilikuwaga zinafanyika pale uwanja wa seminary. Raila odinga grounds ulikuwa bado.

Anyways maisha yalikuwa mazuri ukijumlisha na ujana. Kipindi hicho ukipangiwa hostel za darfur dah.. yaani zilikuwa hostel za kibabe sana hizo. Watoto wa nganza sasa...
Mlitisha sanaa kiukweli ila hata sisi hatukuwa mbali kwa football tamu ya kufundishwa eduche hahaha
 
Ilifika mahali kwenye Fawasco kipindi hicho Fr kitima (VC) akasema mechi za Baso katika siku husika ziwe zinachezwa za mwisho manaake ilikuwa mechi zetu zikitangulia basi baada ya mechi tu kuisha tunaondoka na mziki na burudani zetu zote tunaenda Tj (pale nyegezi corner) kuendeleza bata la baso basi kama kuna mechi inafata uwanjani kunadorora manaake hakuna tena mziki wala burudani uwanja unapooza.

Alafu by that time mechi za Fawasco zilikuwaga zinafanyika pale uwanja wa seminary. Raila odinga grounds ulikuwa bado.

Anyways maisha yalikuwa mazuri ukijumlisha na ujana. Kipindi hicho ukipangiwa hostel za darfur dah.. yaani zilikuwa hostel za kibabe sana hizo. Watoto wa nganza sasa...
Hahaha dah umediscribe vizuri sana......sijui kama hizo mbwembwe hadi leo zipo?
 
Fr. Maziku na makeke yake yote kipindi hicho ndio bado mgeni mwaka 2009 alitengeneza team yake ha Eduche bhana weee...

Fainaili(Fawasco) tukakutana Eduche Vs Baso hapakutosha kabisaaa. Ulipigwa mpira mmoja wa hatari haijatokeaga. Ila mwisho wa siku Fr Maziku na team yake (Eduche) walikalishwa Baso tukabeba ndoo yetu.
Nakumbuka mkuu Mimi nilikuwa mmoja wa wachezaji wa eduche Mpira wetu eduche v/s basso ulikuwa wakipekee sana utakumbukwa daima
 
Hahaha dah umediscribe vizuri sana......sijui kama hizo mbwembwe hadi leo zipo?
Dah...
Zimebaki simulizi tu sasa hivi..
Kambi yetu ya Fawasco tulikuwa tunakaweka swea chimbo moja lilikuwa linaitwa gonzalez.

Kwenye parties sasa Baso tulikuwaga tunafunika sana hata ikatokeaga biff na watu wa Mascom.

Nakumbuku kwa jinsi madem wa Baso walivyokuaga wanajua kutupia vitu (mavazi) basi jamaa wa Mascom wakawa wanatuonea wivu hadi wakipa marufuku madem zao wa Mascom kutongozwa na majamaa wa Baso.
 
Nakumbuka mkuu Mimi nilikuwa mmoja wa wachezaji wa eduche Mpira wetu eduche v/s basso ulikuwa wakipekee sana utakumbukwa daima
Dah..
Mkuu Eduche walikuwa balaa usipime sema watoto wa Baso kujituma sana kulitufanya tuwakalishe Eduche. Alafu matunzo mazuri ya wachezaji wa Baso toka kwa Bitulo yaliwafanya wachezaji wasahau taabu zao.

Yaani wao kula pizzer, ma~bagger, michemsho etc, etc kwa kila mchezaji daily ilikuwa jambo la kawaida sana.

Fr. Maziku hatawasahau Baso wa kipindi hicho (2009). Sema nini kulikuwa na team nyingine balaa ya cheti (certificate) sema walitoka mapema nusu fainali nadhani.
 
Dah...
Zimebaki simulizi tu sasa hivi..
Kambi yetu ya Fawasco tulikuwa tunakaweka swea chimbo moja lilikuwa linaitwa gonzalez.

Kwenye parties sasa Baso tulikuwaga tunafunika sana hata ikatokeaga biff na watu wa Mascom.

Nakumbuku kwa jinsi madem wa Baso walivyokuaga wanajua kutupia vitu (mavazi) basi jamaa wa Mascom wakawa wanatuonea wivu hadi wakipa marufuku madem zao wa Mascom kutongozwa na majamaa wa Baso.
Hahahah nyie mlitisha aise....sio kwa mbwembwe hizo
 
Nimechaguliwa hapo saut public relation and marketing
Nenda kasome mm nimemaliza Saut mwanza public relations and marketing French ni lazima, utasoma uchumi kidogo utasoma photo jornalism. Angalizo jitahidi uwe unaenda radio Saut ujiongezee nafasi ya kufanya kazi redioni kama presenter mbali na kuwa Radio program manager.
 
Nashukuru kwa taarifa

Vipi kuhusiana na fursa za ajira kwa kozi hiyo?
 
Darful imekua hostel ya mademu?? Darfull tulikua tunaishi maisha ya tandale kabisa! Kuna Jamaa alikua anaitwa Ibra! Anakuja kwenye menu yako anaanza kula bila ya karibu! Mchizi alikua na life lakuunga unga sana! But chuo alimaliza now yupo Nmb ni boss mkoja hv
Mixer mzee kule epa ndo kuna mademu alafu jengo lakati na jamaica nakule mortuary ndo masela
 
Daaah ,,,,nakumbuka siku ya kwanza ya vipindi pale saut nilipotea sana madarasa ....mbaya ZAIDI sikuudhuria orientation ...na ratiba inanichanganya.
Nimesoma na LLB 3/MARAKADHAA.
KARIBUNI TULIJENGE JIJI LA MUNGU.
Nimecheka sana, sijui kama Muduma bado yupo pale? Maana nakumbuka alimzingua dogo mmoja alikosea chumba cha mtihani akawa anayosha mkono ili atoke nje mduma anakataa, dogo ikabidi aanze kulia
 
Mixer mzee kule epa ndo kuna mademu alafu jengo lakati na jamaica nakule mortuary ndo masela
Aiseeeee! Mbona kipindi chetu hawakutupa offer hii?? Mademu kukaa nao karibu like that,kipindi chetu wangerudi kwao wote kina mama!
CC GENTMYCINE
 
Dah...
Zimebaki simulizi tu sasa hivi..
Kambi yetu ya Fawasco tulikuwa tunakaweka swea chimbo moja lilikuwa linaitwa gonzalez.

Kwenye parties sasa Baso tulikuwaga tunafunika sana hata ikatokeaga biff na watu wa Mascom.

Nakumbuku kwa jinsi madem wa Baso walivyokuaga wanajua kutupia vitu (mavazi) basi jamaa wa Mascom wakawa wanatuonea wivu hadi wakipa marufuku madem zao wa Mascom kutongozwa na majamaa wa Baso.
Hatari sana wadada walikuwa wanajua sn kutupia mkuu yaani ilikuwa balaa, utafkiri mashindano ya mavazi Hahah mlitishaa mkuu
 
Dah..
Mkuu Eduche walikuwa balaa usipime sema watoto wa Baso kujituma sana kulitufanya tuwakalishe Eduche. Alafu matunzo mazuri ya wachezaji wa Baso toka kwa Bitulo yaliwafanya wachezaji wasahau taabu zao.

Yaani wao kula pizzer, ma~bagger, michemsho etc, etc kwa kila mchezaji daily ilikuwa jambo la kawaida sana.

Fr. Maziku hatawasahau Baso wa kipindi hicho (2009). Sema nini kulikuwa na team nyingine balaa ya cheti (certificate) sema walitoka mapema nusu fainali nadhani.
Nikweli kulikuwa na jamaa middle yetu anaitwa mlingwa beki Fazo hatari sana kipa wetu masala kaka ilitishaa nyie mlishinda kwa sapoti ya mashabiki wenu plus masister duu wenu
 
Back
Top Bottom