Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Mkuu umesahau majini ndo biashara kubwa ya wachungaji wa makanisa hasa makanisa ya kiroho,kila siku ni kutoana tu mapepo, eti miujiza! Ujinga mtupu
Waulize wenzio waliokuwa wakitaabika na majini wamepona au wanaendelea kuwa watumwa wa majini na kuitwa kiti?
 
Maaskofu wa Lutherani hawakatazwi kuoa. Uliza kabla hujadhihirisha ujinga wako.
Mkuu hapo ndio wanajionyesha umbumbu wao na jinsi wanavyo rukia mambo wasiyo yajua kisa hilo gazeti ni la kubenea
 
Mkuu hii ishu ilianza tangu anaingia kuwa Askofu Mkuu... Nashangaa sana hata gazeti lililo heshimika sana kuandika huu upuuzi
Daaaa kumbe hili gazeti leo linaheshimika?
 
Kila uozo wa kijamii kitovu chake ni wachungaji makanisani.

Kuoana jinsia moja wao.
Kulawitiana wao.
Kuharibu watoto wao.
Viungo vya Albino wao.
Uzinzi wao.
Uasherati wao.
Madawa ya kulevya wao.

Na misukule bado wanawafata hao hao eti wawafutie dhambi.

Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Naona kifafa chako kimekurudia tena, pole sana kifafa hakina dawa
 
Sidhani kama ni jukumu la mwanahalisi kuthibitisha ugoni!! Wao wamereport habari za ugoni toka kwa mhusika "Mwakilima" sasa ni jukumu la askofu kukanusha habari za ugoni au kuzitolea maelezo!! Na si lazima uzinzi ufanyike guest hata ofisini unaweza fanyika..
Kipigo kwa mkewe kinaweza kikawa ni matokeo ya huo uzinzi wa mke refer kitu kinaitwa HEAT OF PASSION after all huyo mgoni alifanya hayo baada ya kukuta ujumbe mfupi wa simu......
Mnazungumzia askofu kudhalilishwa hamuongelei kudhalilushwa kwa ndoa takatifu wala mme wa mchungaji!!

KWANI HUYO MALASUSA NAYE AMEPOTEA?????

KWA NINI HAO POLISI NA HUYU MDAI WASIENDE ILI AWAONYESHE WALIPO WATOTO????

WAANDISHI UCHWARA HAWA, WANAANDIKA ILI KUUZA MAGAZETI NA PIA HATA UHAKIKA HAKUNA KWANI SIMU HAIKUPOKELEWA HIYVO WALIPASWA KUTOANDIKA HADI WATHIBITISHE MADAI YAO. MAANA KILA NIKISOMA HII TAARIFA HATA SIIELEWI.
 
Huyo jamaa acha aibiwe mke, kumbe ni kilaza kiasi hicho! Wasilia, walibya, n.k wahangaika kuingia ulaya hadi wana riski maisha yao baharini... yeye wake wanapelekwa mamtoni tena kwa ndege halafu anapiga kelele...! Dah
 
Mwanahalisi kwa nini wamemshadadia sana Mtumishi?au kwa vile alimpokea Magufuli kwenye kanisa la Azania Front hadi mamvi akashindwa kwenda kusali
 
Mwanahalisi kwa nini wamemshadadia sana Mtumishi?au kwa vile alimpokea Magufuli kwenye kanisa la Azania Front hadi mamvi akashindwa kwenda kusali
Bado mnaweweseka na mamvi au mmeanza kampein CDM 2020 mgombea mwingine. Huyu mzee ameisha maliza ngwe yake.
 
Wewe ndo umeamka usingizini, kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa askofu malasusa hajawahi kuoa?, nawewe ni GT?, Poor you.
 
Naona kifafa chako kimekurudia tena, pole sana kifafa hakina dawa

Nimeainisha uozo wa wachungaji makanisani, sasa bisha kama kuna uozo nilioutaja ambao hakuna nikuwekee ushahidi.

Nnauhakika hautoweza kupinga utabaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi, anandika Josephat Isango.

Akizungumza baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.

Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.

MwanaHALISI limemtafuta Shedafa kwa tuhuma hizo, alipokea simu na baada ya kuambiwa kuwa anaongea na MwanaHALISI alikata simu na kukataa kuongea suala hili na mwandishi.

Malasusa anadaiwa kuwa anadaiwa kushirikiana na mfanyakazi wa hospitali ya Muhimbili anayeitwa Julieti, aliyewaambia ndugu wa mume anayenyang’anywa mke wake na malasusa kuwa atakiona.

“Huyu kaka anajidai mjuaji, hapti kitu, utaratibu uko tayari wa kuwasafirisha watoto kwenda nje ya nchi na hatawaona tena, ataishia kuwasikia tu, mimi ni mtu wa Karibu na Askofu Malasusa ndo nawaambia”. Alinukuliwa dada huyo akiongea kwa ujasiri.

Hadi sasa watoto wanaotafutwa na baba yao ambao Jeshi la Polisi linadaiwa kushirikiana na Malasusa licha ya taarifa zao kufika polisi kituo cha Wazo na kutochukuliwa hatua ni Sijenuni, Sephania, na Simon wote wanadaiwa kuwa watoto wa Venance Mwakilima.

Taarifa za leo usiku zilizofikiwa MwanaHALISI online zinadai kuwa baadhi ya Maaskofu Jijini Dar es Salaam wameamua kujitokea kulinda heshima ya uaskofu baada ya kudhalilishwa na Malasusa.

Maaskofu ambao hawakupenda kutajwa majina yao kwa kuwa si wasemaji wa vikao halali wamesema “hili suala tunalichukua,

Malasusa ana tuhuma nzito nchini, na baada ya gazeti kuandika watu wamejitolea kujieleza tunaomba muda kesho (Jumanne) tutaliongelea hadharani baada ya kukutana na mume wa me.
Aidha Malasusa hakupatikana kwenye simu zake wala kujibu ujumbe wa simu aliotumiwa tangu juzi wakati gazeti la MwanaHALISI likiendelea kufuatilia sakata hili.

Taarifa ambazo mwandishi anazo zinadai viongozi wakubwa wa serikali wanaingilia suala hili, zinafuatiliwa na zitaandikwa kweny
 
Mwanahalisi kwa nini wamemshadadia sana Mtumishi?au kwa vile alimpokea Magufuli kwenye kanisa la Azania Front hadi mamvi akashindwa kwenda kusali
Tuliza huo mshono wewe
 
Bado mnaweweseka na mamvi au mmeanza kampein CDM 2020 mgombea mwingine. Huyu mzee ameisha maliza ngwe yake.
Mkuu ganzi aliyoitumia mzee lowasa kuwachoma ccm ni hali ya juu sana hadi leo akili zao zimepooza
 
Back
Top Bottom