Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Nimeainisha uozo wa wachungaji makanisani, sasa bisha kama kuna uozo nilioutaja ambao hakuna nikuwekee ushahidi.

Nnauhakika hautoweza kupinga utabaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi:

Date::12/29/2008
Ustaadh akamatwa akidaiwa kujaribu kubaka mwanafunzi
Na Samuel Msuya,Morogoro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia ustaadh wa madrasa, Dadi Ramadhani, 35, ambaye ni mkazi wa Mafiga mkoani hapa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Thobias Andingenye alisema mwalimu huyo wa dini alikamatwa Desemba 24 majira ya saa 6:00 mchana kwenye nyumba ya kulala wageni ya Bembea iliyo maeneo ya Kiwanja cha Ndege mkoani hapa.

Duniani kuna mambo!!!
 
Wasilia, walibya, n.k wahangaika kuingia ulaya hadi wana riski maisha yao baharini... yeye wake wanapelekwa mamtoni tena kwa ndege halafu anapiga kelele...! Dah

= Wasyria

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi:

Date::12/29/2008
Ustaadh akamatwa akidaiwa kujaribu kubaka mwanafunzi
Na Samuel Msuya,Morogoro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia ustaadh wa madrasa, Dadi Ramadhani, 35, ambaye ni mkazi wa Mafiga mkoani hapa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Thobias Andingenye alisema mwalimu huyo wa dini alikamatwa Desemba 24 majira ya saa 6:00 mchana kwenye nyumba ya kulala wageni ya Bembea iliyo maeneo ya Kiwanja cha Ndege mkoani hapa.

Duniani kuna mambo!!!

Nnaona umeshindwa kupinga uozo hata mmoja katika niliyoiainisha badala yake umekuja na habari za "kujaribu".

Hiyo ndiyo justification yako kwa wachungaji kufanya uozo makanisani?
 
Nnaona umeshindwa kupinga uozo hata mmoja katika niliyoiainisha badala yake umekuja na habari za "kujaribu".

Hiyo ndiyo justification yako kwa wachungaji kufanya uozo makanisani?

Tukio hilo la kusikitisha, limedaiwa kutokea hivi karibuni Chang'ombe Toroli ambapo sheikh huyo aliyekuwa akifundisha Madrasa ya Istiqama, amedaiwa kuwa na tabia ya kumwingilia kimwili binti ambaye alikuwa mwanafunzi wa hiyo madrasa, kwa muda mrefu sasa.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ambacho tunakipa hifadhi ya jina lake, wakati sheikh huyo akiendeleza tabia hiyo chafu ya ufuksa, wazazi wa binti hawakuelewa chochote, hadi siku za hivi karibuni waliposikia kutoka kwa majirani kuwepo kwa mchezo mchafu wa kimapenzi kati ya sheikh huyo na binti yao.

Habari zaidi zinasema kuwa kufuatia hali hiyo, wazazi wa binti huyo walimbana binti yao, ambaye hatimaye alikiri kuingiliwa kimwili na sheikh huyo.

Hata hivyo, binti huyo aliwaeleza wazazi hao kuwa alikuwa akitishiwa na kiongozi huyo wa dini asitoe siri hiyo kwa mtu yeyote.

Waandishi wetu walifanikiwa kuongea na mama mzazi wa binti huyo (jina tunalihifadhi) ambaye alikiri mwanae kufanyiwa kitu mbaya na sheikh huyo.

Nilimwita binti yangu na kumbana aeleze ukweli ndipo akaniambia kuwa sheikh huyo mara kwa mara amekuwa akimchezea matiti, kumtomasatomasa, na kumwingilia kimwili, na muda wa kutoka madrasa unapofika humwambia awe wa mwisho ili wafanye mchezo huo hapohapo msikitini, alisema mama huyo.

Mzazi huyo aliendelea kuwaeleza waandishi wetu kuwa, waliitisha kikao na viongozi wa Msikiti wa Toroli, walimu wa madrasa yote ya Toroli pamoja na wazee wa kiislamu na kujadili juu ya suala hilo, ambapo iliamriwa chuo hicho kifungwe hadi hapo itakapoamriwa vinginevyo.

Wakati sakata hilo likipamba moto, mshtumiwa alifanikiwa kutoroka kwa kuogopa kukamatwa.

Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, wazazi walimpeleka binti yao Hospitali ya Temeke kwa vipimo mbalimbali, daktari aliyempima alisema kuwa ni kweli binti huyo huwa anaingiliwa kimwili, lakini hakukuwepo mbegu za kiume zilizopatikana kwenye vipimo.

Wazazi wa binti huyo waliamua kwenda Kituo Kidogo cha Polisi Keko na kumfungulia kesi yenye jalada namba KPP\ RB\2269\2008, lakini kutokana na uzito wa kesi yenyewe, ilihamishiwa Kituo kikubwa cha Chang?ombe na kufunguliwa jalada lingine lenye namba CHA\RB\7796\2008.

Waandishi wetu walifanikiwa kuongea na mmoja wa viongozi wa msikiti wa Toroli ambaye alikiri kufungwa kwa muda kwa madrasa ya Istiqama kutokana na madai ya sheikh huyo kumuingilia kimwili mwanafunzi wake. Hadi hivi sasa uchunguzi bado unaendelea na sheikh huyo anatafutwa na polisi kujibu tuhuma hizo.

Nimeikama Global Publishers

Duniani kuna mambo!!!
 
KWANI HUYO MALASUSA NAYE AMEPOTEA?????

KWA NINI HAO POLISI NA HUYU MDAI WASIENDE ILI AWAONYESHE WALIPO WATOTO????

WAANDISHI UCHWARA HAWA, WANAANDIKA ILI KUUZA MAGAZETI NA PIA HATA UHAKIKA HAKUNA KWANI SIMU HAIKUPOKELEWA HIYVO WALIPASWA KUTOANDIKA HADI WATHIBITISHE MADAI YAO. MAANA KILA NIKISOMA HII TAARIFA HATA SIIELEWI.
Ningumu kuielewa sababu waandishi wengi wanatumia utumbo kufikiri
 
Muacheni Askofu wetu aendelee na kazi aliyotumwa. Hii issue yote iko framed kumattack Dr ili waumini wakose imani nae.
 
masopakyindi
Monday, 22 September 2014

Watoto sita waliobakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji

Watoto sita wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wamwharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa kuwa ni wachungaji.
Wakiwa katika Hospital ya Mountmeru, Arusha walikipelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya Zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la Feed Force, Kwamorombo jijini Arusha. Mmoja wa watoto hao anayesoma darasa la nne aliyeleza kuwa yeye na wenzake walikuwa wakifanyiwa mchezo huo mchafu na wachungaji hao baada ya kuwapatia sh. 2000 za kufunga mdomo.
''Siku moja nilipofika shuleni wenzangu wakaniambia niende kanisani hapo nikapewe hela nilipofika niliwaona wenzangu wakifanyiwa mchezo mchafu na mimi mchungaji aliniambia niiname akanifanyia mchezo huo mchafu na kunipa sh 2000 niliumia sana'' alisema mwanafunzi mmoja.
Mwanafunzi mwingine alisema alikuwa anatoroka shuleni na wenzake na kwenda kwa watumishi ambapo huwaingiza katika kanisa hilo na kujifanya wanawaombea na baadae kuwafanyia mchezo mbaya ''Tukifika wanatufungia ndani na kutuambia tuwanyonye ,baadaye wanatuambia tukusema tu wanatubaka na kutuambia tukisema kwa mtu yoyote watatuchinja na kutuzika ndani ya kanisa lao'' alisema mwanafunzi huyo
Wanafunzi hao walisema watumishi hao wa Mungu huwarubuni kuwa watawasaidia watawasomesha iwampo watakuwa anaenda kwenye kanisa hilo na kuwaingilia. Mzazi mmoja wa watoto hao Julius , mkazi wa Kwamorombo alisema mtoto wake alikuwa akifanyiwa mchezo mbaya baada ya kupatiwa sh 2000.Alisema amegundua hilo baada ya mtoto wake kuchelewa kurudi Nyumbani.
Watoto baadae walihamishiwa katika Hospitali ya Seriani kwa ajili ya vipimo huku taarifa za awali na madaktari wa Hospitali hiyo kuwa Baadhi yao walikuwa na michubuko na kupanuka sehemu za siri hali inayoonyesha kuingiliwa.Watuhumiwa hao wameshikiliwa katika kituo kikuu cha polisi Arusha kwa uchunguzi zaidi na Kamanda wa Polisi Arusha Rebelatus Sabas amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
 
Muacheni Askofu wetu aendelee na kazi aliyotumwa. Hii issue yote iko framed kumattack Dr ili waumini wakose imani nae.

malasusa ajitokeze kuelezea issue yote.binadamu amemshinda ibilisi kwa uovu !
 
Mkuu nakubaliana nawe sawia kwamba huyu "mzalendo"anapigana vita ngumu na nzito,na kama ni kweli baba askofu amemtenda kwa style hiyo kwa kweli naungana na wote wanaosympathise nae.
Namshauri mkuu mwenzetu awe na subira na kumuomba sana mwenyezi mungu kwani ndiye pekee mwenye uwezo wa kubainisha haki na batili hata katika mazingira magumu,na kama ni kweli amedhulumiwa aendelee kuwa na imani kwamba mungu hamfichi mnafiki.
Wanaume wengi hawajafahamu psychology behind ugomvi unapoingia kati ya mume na mke. Mara nyingi wanaume mwanzoni mwa mahusiano huwa na msaada mkubwa kwa wanawake, either unamsapoti asome au aongeze mtaji wa biashara na unampatia bila kujali chochote bali ni kwa upendo tu na kuona kama unawajibika kumsaidia mkeo ili apande daraja.

Katika kufanya hayo mwanaume waweza kuwa una control sana mkeo na family, ni ngumu sana kujua nini mkeo anafanya on your back ila siku utakuja kustukia hata watoto sio wako

Sasa ili asipate aibu atahakikisha mnagombana sana to the extent wewe mwanaume unaingia kwenye najaribu ya kutaka kutumia ubabe, ukiingia hiyo stage mwanamke anakuwa anajua kabisa ila atakuletea hata rungu halafu anakwambia KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI SASA NIPIGE, my friend ukiona mpo hiyo stage fungua mlango, washa gari, nenda kanisani if not bar au tafuta kazi kalime shamba kaa huko japo wiki halafu utapata solution ila ukirogwa umpige itakuwa imekula kwako. Atahakikisha anakulebo kuwa wewe ni women abuser notwithstanding mema uliyoyatenda kwake na nduguze wote.

Hapo familia yake watakusema sana na utahisi dunia imekuangukia na waweza kujikuta na msongi mkubwa wa mawazo

Wakati huo unakuta jamaa anaekula mkeo anafahamiana na mkuu wa polisi au waziri wa jinsia na watoto utapotezwa ilimradi huyu mwanamke asionekane makosa yake

Nashauri wanaume tuombe sana busara pale tunapopatwa na mikasa kwenye ndoa maana hakuna anayekutuma ukapige mkeo basi ni msukumo tu pengine sababu ya mfumo tuliokuta kwenye jamii ila ni vema kukimbia matatizo ili kama mkeo ndio mwenye makosa basi itakuja kufahamika tu
 
mkuu akili kwnye ile kitu huwa inaondoka kabisa na ndo maana imefunikwa ikiweka wazi kila kitu kinaondoka hata vitabu vya Mungu huw vinafutika kichwan
Ni kweli ila bila kuwa na hekima mzee hii mambo ya mahusiano kwenye ndoa unaweza kujikuta umecomitt suicide
 
Huyu askofu inabidi sasa aadhibiwe na nguvu ya umma
Mbona story haieleweki? Mtumishi kaiba watoto kivipi? Mbona ana mke wa ndoa na watoto? Hili jina kubwa lina wafuasi wengi wekeni story vizuri siyo kimbeya Mbeya.
 
Malasusa ana mke ndugu. Labda ungeuliza kwani Malasusa haruhusiwi kuchepuka? Na jibu lingekua hili, anaruhusiwa ila kimya kimya waumini wake wa jimbo la mashariki tusijue kwani amri ya sita inakataza.
Jibu zuri sana, watu wanadhani hawa watu hawawezi kutenda dhambi na ndio maana wengi wamewaamini kuwaacha wakae karibu na wake zao mwishowe wake zao wakatafunwa if not kugegedwa.

They are just ordinary human beings made of flesh and blood. Wamezaliwa kama sisi na watakufa vile vile so be careful with them. Listen to what they preach and let them stay away from your marriage.

Lakini pia ni watu muhimu kwenye jamii sababu wanaleta hofu ya Mungu kidogo wanadamu tunapunguza uovu
 
Mbona story haieleweki? Mtumishi kaiba watoto kivipi? Mbona ana mke wa ndoa na watoto? Hili jina kubwa lina wafuasi wengi wekeni story vizuri siyo kimbeya Mbeya.
Kuna part one na part two hebu tafuta part one ndio ukisoma hii utapata kujua
 
masopakyindi
Monday, 22 September 2014

Watoto sita waliobakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji

Watoto sita wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wamwharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa kuwa ni wachungaji.
Wakiwa katika Hospital ya Mountmeru, Arusha walikipelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya Zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la Feed Force, Kwamorombo jijini Arusha. Mmoja wa watoto hao anayesoma darasa la nne aliyeleza kuwa yeye na wenzake walikuwa wakifanyiwa mchezo huo mchafu na wachungaji hao baada ya kuwapatia sh. 2000 za kufunga mdomo.
''Siku moja nilipofika shuleni wenzangu wakaniambia niende kanisani hapo nikapewe hela nilipofika niliwaona wenzangu wakifanyiwa mchezo mchafu na mimi mchungaji aliniambia niiname akanifanyia mchezo huo mchafu na kunipa sh 2000 niliumia sana'' alisema mwanafunzi mmoja.
Mwanafunzi mwingine alisema alikuwa anatoroka shuleni na wenzake na kwenda kwa watumishi ambapo huwaingiza katika kanisa hilo na kujifanya wanawaombea na baadae kuwafanyia mchezo mbaya ''Tukifika wanatufungia ndani na kutuambia tuwanyonye ,baadaye wanatuambia tukusema tu wanatubaka na kutuambia tukisema kwa mtu yoyote watatuchinja na kutuzika ndani ya kanisa lao'' alisema mwanafunzi huyo
Wanafunzi hao walisema watumishi hao wa Mungu huwarubuni kuwa watawasaidia watawasomesha iwampo watakuwa anaenda kwenye kanisa hilo na kuwaingilia. Mzazi mmoja wa watoto hao Julius , mkazi wa Kwamorombo alisema mtoto wake alikuwa akifanyiwa mchezo mbaya baada ya kupatiwa sh 2000.Alisema amegundua hilo baada ya mtoto wake kuchelewa kurudi Nyumbani.
Watoto baadae walihamishiwa katika Hospitali ya Seriani kwa ajili ya vipimo huku taarifa za awali na madaktari wa Hospitali hiyo kuwa Baadhi yao walikuwa na michubuko na kupanuka sehemu za siri hali inayoonyesha kuingiliwa.Watuhumiwa hao wameshikiliwa katika kituo kikuu cha polisi Arusha kwa uchunguzi zaidi na Kamanda wa Polisi Arusha Rebelatus Sabas amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
hiyo ni miratul muhammad...alimuweka mkao gani a'sha? kijamaa kwa uchu noma..hahahahaaa..
 
Hivi kwa nini mnamtetea sana malasusa hawezi fanya hayo? Kwani yeye ni nani? Kwa mungu alie bora ni yule atendae mema tu, hata uwe nani,nashangaa watu na akill zao wanamtetea sana,tena wengine wanadiriki kumuita baba,wakati biblia imekataza kumuita kiumbe baba.la msingi tunyamaze tuone mwishoe itaakuaje katika sakata hili.
Au kuwatetea viongozi wa kanisa ni sehemu ya mafundisho?
 
La msingi huyo ni binadamu,amezaliwa na atakufa kama wengine na siku ya mwisho atahukumiwa,sasa kumtetea kuwa hawezi fanya hivyo ni makosa makubwa kwa mungu na duniani,hasa kwa watu wenye akili,mbona ponda aliwekwa rumande miaka miwili na mwishoe ikaonekana hana hatia,na mahakama ikamuachia huru na waumini hawakumtetea,kwa kuwa hakuna alie mbora kwa mungu zaidi ua yule atendae mema.nayeye kama hakuna kibaya alichofanya yatakwisha tu,sasa kumtetea sana wakati hatujui lolote ni kujitoa ufahamu tu,hata kama tumesoma sana.
 
Back
Top Bottom