Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwani hajaoa?Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Huyu sio padri wa kikatoliki, huyu ni mtumishi wa kkkt na hawa wanaoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hajaoa?Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Huyo jamaa ana kazi kubwa sana kufight na mtu wa hadhi ya huyo askofu, hao watu wana nguvu kubwa sana usiwaone wanavyoongea kama wapole au wajinga flani, ni wasomi wa hali ya juu na wana akili kubwa sana.Huyu askofu inabidi sasa aadhibiwe na nguvu ya umma
Nani amekwambia Askofu Malasusa hana mke?Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
..MSETO…
Sawa muumini, inauma na chungu ila ndio dawa.Mwanahalisi sasa rasmi ni gazeti la UDAKU
..MSETO…
..MSETO…
Mbona mwandishi wa habari hii ni mkiristo, kwani mtu kuwa na mke inazuia yy kuwa na mchepuko ? mbona watu wamekiri kuwa na kiongozi wa kidini mkoa iringa ambaye anawala mademu saana, hawa viongozi wa kidini ni binadamu kama wengine kwa hiyo na wawo wana madhaifuNani amekwambia Askofu Malasusa hana mke?
Hizi porojo za Mwanahalisi zisikufanye utende dhambi! Hata hivyo nimeshaona kuna chembechembe za udini zinapandikizwa hapa ili kuonyesha dini fulani haifai! Ukichukulia ukweli kuwa mmiliki wa Mwanahalisi anatokea ile "dini ya haki!"
Nilikuwa namjibu huyu mwenzio PACHOTO aliyeshauri maaskofu waoe. Nadhani hukupaswa kunijibu hivi.Mbona mwandishi wa habari hii ni mkiristo, kwani mtu kuwa na mke inazuia yy kuwa na mchepuko ? mbona watu wamekiri kuwa na kiongozi wa kidini mkoa iringa ambaye anawala mademu saana, hawa viongozi wa kidini ni binadamu kama wengine kwa hiyo na wawo wana madhaifu
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Mbona habari ni ya upande mmoja? Nimeiita habari hii udaku kwakuwa sioni sehemu mwandishi alipofanya mahojiano na Askofu MalasusaSawa muumini, inauma na chungu ila ndio dawa.