Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa Malasusa hana mke? au hujui ni askofu wa kanisa gani.Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
movie kama ya kihindi, andhaa kanoni
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Wanaolazimika kusoma sana ni wa RC tu.Huyo jamaa ana kazi kubwa sana kufight na mtu wa hadhi ya huyo askofu, hao watu wana nguvu kubwa sana usiwaone wanavyoongea kama wapole au wajinga flani, ni wasomi wa hali ya juu na wana akili kubwa sana.
Kwani mwanahalisi limeanzishwa mwaka gani mpaka waje kuandika leo, dini zisitutie upofu, lolote linawezekana kikubwa ni kwenda mbali zaidi kujua ukweli, usilete udini hapa.Nani amekwambia Askofu Malasusa hana mke?
Hizi porojo za Mwanahalisi zisikufanye utende dhambi! Hata hivyo nimeshaona kuna chembechembe za udini zinapandikizwa hapa ili kuonyesha dini fulani haifai! Ukichukulia ukweli kuwa mmiliki wa Mwanahalisi anatokea ile "dini ya haki!"
kwan askofu haruhusiw kuwa na mke
Hakuna vita mbaya kwenye Jamii kama kugombana na mkeo kama ulivyosema Mwanaume ukiwa na maji ya ubongo bila ubongo utapotea Mwanamke ni mtu mzuri akiwa bado anakupeanda akisha kutoa Moyoni usilazimisheKuna uwezekano huyo jamaa amenyanyaswa sana mpaka akafikia kuweka mambo hadharani especially pale inakuja kumtuhumu mtu mwenye hadhi ya Malasusa. Hawa ni watu hatari, wanaaminika kwenye jamii, anaweza kukupoteza kweli sababu hakuna mtu ataamini story yako.
Watu kama Malasusa wakiamua wanakufanya maisha yako yawe miserable kabisa sababu wao wanaonekana hawawezi kutenda dhambi Kabisa na pia kanisa haliwezi kukubali kuingia kwenye kashfa za namna hiyo wao watamuadhibu askofu kwa utaratibu wao ila sio public ijue.
Huyu jamaa kama story yake ina ukweli na ana ushahidi basi anahitaji kutumia akili ya hali ya juu kufight hiyo battle maana mke anahakikisha status yake inalindwa na Malasusa nae anafanya hivyo hiyo na kanisa pia linafanya hivyohivyo so ni vita nzito he must be brave and fight bravery!
Nachoweza kusema ni kwamba hawa wanawake tuwaone tu kwenye sketi akiwa mkeo jifunze kuishi nae kwa akili na busara kubwa otherwise wanakuingiza kwenye mambo ya ajabu mwishowe unajikuta umempiga na kumuabuse lazima uwe na akili.
Mwanamke anakukosea na anakufanyia visa, ukiwa na ubongo mwembamba utajikuta umemuabuse, mwanaume lazima ufikirie mara mbili, kwa nini amekukosea? Kwa nini anakujibu hovyo? Lakini kwa nini umpige hata kama anakujibu hovyo na kweli una ushahidi amekukosea? Hapo unamuacha and just move on hata kama mna watoto kumi go and live your life.
..MSETO…
Umesoma habari kwenye ya Upande mmoja unapata wapi haki ya kuhukumu....umeshasikia na Upande wapi?Huyu askofu inabidi sasa aadhibiwe na nguvu ya umma
Ni Bahati Mbaya sana haya yanatokea tukiwa hai, kanisa linanajisiwa Na Kiongozi wa juu. Wachangiaji wanakurupuka kwa Kuwa wamezoea kutumika. Hii sio Mara ya kwanza jwa habari Hizi katika Kanisa hili limeshamumbwa na kasha favorite Za namna hii Kwa Muda mrefu, Jerry mngwamba tuko wapi Leo hii? Alikua anatembea na washirika, kingomela na mgogoro wa Msasani ni hayo hayo, Huyu wa sasa hii sio kashfa ya kwanza, Ike habari ya Kimada wa kigamboni ilizimwa, Hal wanawake wa kitengo cha wanawake wamefanya nini Kukemea Huo uchafu, sisi washarika tunaanza mkakati wa kuhama Na kuhamisha watoto watu maana Kanisa hakuna maadili, au wote tuhamie Kimara Kwa mastahi maana Ndio kuna unafaa. Askofu mwakabana wewe Ndio ulistahili Nafasi hiyo ya juu, ma askofu wenye hekima vunja hicho kitengo cha wanawake haraka, huyo askofu a humiliate hatua Mara moja.pole sana mama Erika Malasusa dads wa kisukumu ka Hizi aibu zisizo Na Mwisho, kila siku kila Leo ni majeruhi hayo hayo, itisha hicho kitengo cha wanawake ukawatie adabu, wavunja Nyumba Za watu hao, Na huyo askofu Malasusa ashutakiwe mahakamani, Makonda anatumiaje jeshi la polisi Kubeba mambo hayo wakati Kinondoni umezidiwa Na uhakifu Kwa sasa?Mbona habari ni ya upande mmoja? Nimeiita habari hii udaku kwakuwa sioni sehemu mwandishi alipofanya mahojiano na Askofu Malasusa
Kuna uwezekano huyo jamaa amenyanyaswa sana mpaka akafikia kuweka mambo hadharani especially pale inakuja kumtuhumu mtu mwenye hadhi ya Malasusa. Hawa ni watu hatari, wanaaminika kwenye jamii, anaweza kukupoteza kweli sababu hakuna mtu ataamini story yako.