Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Malasusa amelidhalilisha kanisa na ukristo kwa ujumla.Alikuwa mkuu wa kanisa la KKKT,sijui alikuwa anawaongoza nini wenzake na humo kutakuwa na ushitikina wa hali ya juu iwapo tu haya ya kuzini na wake za watu wameyashindwa.

Wanatufundisha nini sisi waumini wawapo madhabahuni.

Kanisa inabidi limuondolee uaskofu wake na kumtenga kinisani.

Haya yote walikuwa wanayajua,na ingebidi kumuonya au kumuondoa kabla hajawaletea aibu wanayosema otherwise wote wanajuana madhambi yao.

Mengi sana yanafanyika nyuma ya pazia. Mimi hilo ni dhehebu langu lakini hayo yapo na niliamini baada ya mtumishi mmoja kumtaka kimapenzi mke Wangu, ushahidi nilikuwa nao.
 
Zama Zimebadilika, sina Imani Tena Na mwana Halisi. Kuna mkongwe mmoja alishanionya " kubenea ni mwandishi mzuri ila tatizo lake anakubali kutumiwa ".
I have proved that with time
Mbaya zaidi ni kutokuwa na akili pamoja na elimu ndogo.
Majuzi isingekuwa leniency ya hakimu pale Kisutu angefungwa kijinga sana kwa kumtusi Makonda.
 
Kuna uwezekano huyo jamaa amenyanyaswa sana mpaka akafikia kuweka mambo hadharani especially pale inakuja kumtuhumu mtu mwenye hadhi ya Malasusa. Hawa ni watu hatari, wanaaminika kwenye jamii, anaweza kukupoteza kweli sababu hakuna mtu ataamini story yako.

Watu kama Malasusa wakiamua wanakufanya maisha yako yawe miserable kabisa sababu wao wanaonekana hawawezi kutenda dhambi Kabisa na pia kanisa haliwezi kukubali kuingia kwenye kashfa za namna hiyo wao watamuadhibu askofu kwa utaratibu wao ila sio public ijue.

Huyu jamaa kama story yake ina ukweli na ana ushahidi basi anahitaji kutumia akili ya hali ya juu kufight hiyo battle maana mke anahakikisha status yake inalindwa na Malasusa nae anafanya hivyo hiyo na kanisa pia linafanya hivyohivyo so ni vita nzito he must be brave and fight bravery!

Nachoweza kusema ni kwamba hawa wanawake tuwaone tu kwenye sketi akiwa mkeo jifunze kuishi nae kwa akili na busara kubwa otherwise wanakuingiza kwenye mambo ya ajabu mwishowe unajikuta umempiga na kumuabuse lazima uwe na akili.

Mwanamke anakukosea na anakufanyia visa, ukiwa na ubongo mwembamba utajikuta umemuabuse, mwanaume lazima ufikirie mara mbili, kwa nini amekukosea? Kwa nini anakujibu hovyo? Lakini kwa nini umpige hata kama anakujibu hovyo na kweli una ushahidi amekukosea? Hapo unamuacha and just move on hata kama mna watoto kumi go and live your life.

That is true ... We really need to control our emotions with these beings
 
apo ndo ujue ile ngoma ya Sugu na GWM -Yamenikuta mzee mwenzagu haikua ya bongo freva ni Real Hip Hop
 
Kuna uwezekano huyo jamaa amenyanyaswa sana mpaka akafikia kuweka mambo hadharani especially pale inakuja kumtuhumu mtu mwenye hadhi ya Malasusa. Hawa ni watu hatari, wanaaminika kwenye jamii, anaweza kukupoteza kweli sababu hakuna mtu ataamini story yako.

Watu kama Malasusa wakiamua wanakufanya maisha yako yawe miserable kabisa sababu wao wanaonekana hawawezi kutenda dhambi Kabisa na pia kanisa haliwezi kukubali kuingia kwenye kashfa za namna hiyo wao watamuadhibu askofu kwa utaratibu wao ila sio public ijue.

Huyu jamaa kama story yake ina ukweli na ana ushahidi basi anahitaji kutumia akili ya hali ya juu kufight hiyo battle maana mke anahakikisha status yake inalindwa na Malasusa nae anafanya hivyo hiyo na kanisa pia linafanya hivyohivyo so ni vita nzito he must be brave and fight bravery!

Nachoweza kusema ni kwamba hawa wanawake tuwaone tu kwenye sketi akiwa mkeo jifunze kuishi nae kwa akili na busara kubwa otherwise wanakuingiza kwenye mambo ya ajabu mwishowe unajikuta umempiga na kumuabuse lazima uwe na akili.

Mwanamke anakukosea na anakufanyia visa, ukiwa na ubongo mwembamba utajikuta umemuabuse, mwanaume lazima ufikirie mara mbili, kwa nini amekukosea? Kwa nini anakujibu hovyo? Lakini kwa nini umpige hata kama anakujibu hovyo na kweli una ushahidi amekukosea? Hapo unamuacha and just move on hata kama mna watoto kumi go and live your life.
Mkuu nakubaliana nawe sawia kwamba huyu "mzalendo"anapigana vita ngumu na nzito,na kama ni kweli baba askofu amemtenda kwa style hiyo kwa kweli naungana na wote wanaosympathise nae.
Namshauri mkuu mwenzetu awe na subira na kumuomba sana mwenyezi mungu kwani ndiye pekee mwenye uwezo wa kubainisha haki na batili hata katika mazingira magumu,na kama ni kweli amedhulumiwa aendelee kuwa na imani kwamba mungu hamfichi mnafiki.
 
Mume wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi,
Akizungumza na MwanaHALISI online baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.

Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.

MwanaHALISI limemtafuta Shedafa kwa tuhuma hizo, alipokea simu na baada ya kuambiwa kuwa anaongea na MwanaHALISI alikata simu na kukataa kuongea suala hili na mwandishi.

Malasusa anadaiwa kuwa anadaiwa kushirikiana na mfanyakazi wa hospitali ya Muhimbili anayeitwa Julieti, aliyewaambia ndugu wa mume anayenyang’anywa mke wake na malasusa kuwa atakiona.

Huyu kaka anajidai mjuaji, hapti kitu, utaratibu uko tayari wa kuwasafirisha watoto kwenda nje ya nchi na hatawaona tena, ataishia kuwasikia tu, mimi ni mtu wa Karibu na Askofu Malasusa ndo nawaambia”. Alinukuliwa dada huyo akiongea kwa ujasiri.

Hadi sasa watoto wanaotafutwa na baba yao ambao Jeshi la Polisi linadaiwa kushirikiana na Malasusa licha ya taarifa zao kufika polisi kituo cha Wazo na kutochukuliwa hatua ni Sijenuni, Sephania, na Simon wote wanadaiwa kuwa watoto wa Venance Mwakilima.

Taarifa za leo usiku zilizofikiwa MwanaHALISI online zinadai kuwa baadhi ya Maaskofu Jijini Dar es Salaam wameamua kujitokea kulinda heshima ya uaskofu baada ya kudhalilishwa na Malasusa.

Maaskofu ambao hawakupenda kutajwa majina yao kwa kuwa si wasemaji wa vikao halali wamesema “hili suala tunalichukua,

Malasusa ana tuhuma nzito nchini, na baada ya gazeti kuandika watu wamejitolea kujieleza tunaomba muda kesho (Jumatano) tutaliongelea hadharani baada ya kukutana na mume wa me.

Aidha Malasusa hakupatikana kwenye simu zake wala kujibu ujumbe wa simu aliotumiwa tangu juzi wakati gazeti la MwanaHALISI likiendelea kufuatilia sakata hili.

Mwanahalisi Online.
 
Ukitaka kupiga hela duniani, na kuwazini wake na mabinti wa watu we anzisha tu kanisa Afrika, utaishi kwa raha mustarehe hapa duniani, na kwa heshima zote!
 
Kwanini hii issue ya Askofu Malasusa imeshupaliwa na wafuasi za CHADEMA?

Kivipi?? Kwani kamati kuu ya CDM imelitolea tamko?? Acha ufaatani wewe!! Ungekuwa na Hekima ungeuliza kwa nini Mwanahalisi wanaifuatilia KKKT?? Maana kama unakumbuka mwanahalisi bro lilireport Issue ya Askofu Kweka, na issue ya mgogoro wa Dayosisi ya Njombe na iliweka hadi Barua za Mungai..
Mwanahalisi ni gazeti la Kubenea si la chama kama ilivyo TanzaniaDaima ni la Mbowe si la chama kwa hiyo saa nyingine wanaandika their interests sio za chama
 
Mume wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi,
Akizungumza na MwanaHALISI online baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.

Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.

MwanaHALISI limemtafuta Shedafa kwa tuhuma hizo, alipokea simu na baada ya kuambiwa kuwa anaongea na MwanaHALISI alikata simu na kukataa kuongea suala hili na mwandishi.

Malasusa anadaiwa kuwa anadaiwa kushirikiana na mfanyakazi wa hospitali ya Muhimbili anayeitwa Julieti, aliyewaambia ndugu wa mume anayenyang’anywa mke wake na malasusa kuwa atakiona.

Huyu kaka anajidai mjuaji, hapti kitu, utaratibu uko tayari wa kuwasafirisha watoto kwenda nje ya nchi na hatawaona tena, ataishia kuwasikia tu, mimi ni mtu wa Karibu na Askofu Malasusa ndo nawaambia”. Alinukuliwa dada huyo akiongea kwa ujasiri.

Hadi sasa watoto wanaotafutwa na baba yao ambao Jeshi la Polisi linadaiwa kushirikiana na Malasusa licha ya taarifa zao kufika polisi kituo cha Wazo na kutochukuliwa hatua ni Sijenuni, Sephania, na Simon wote wanadaiwa kuwa watoto wa Venance Mwakilima.

Taarifa za leo usiku zilizofikiwa MwanaHALISI online zinadai kuwa baadhi ya Maaskofu Jijini Dar es Salaam wameamua kujitokea kulinda heshima ya uaskofu baada ya kudhalilishwa na Malasusa.

Maaskofu ambao hawakupenda kutajwa majina yao kwa kuwa si wasemaji wa vikao halali wamesema “hili suala tunalichukua,

Malasusa ana tuhuma nzito nchini, na baada ya gazeti kuandika watu wamejitolea kujieleza tunaomba muda kesho (Jumatano) tutaliongelea hadharani baada ya kukutana na mume wa me.

Aidha Malasusa hakupatikana kwenye simu zake wala kujibu ujumbe wa simu aliotumiwa tangu juzi wakati gazeti la MwanaHALISI likiendelea kufuatilia sakata hili.

Mwanahalisi Online.
Mwanahalisi halijathibitisha ugoni wa Malasusa.
Lilete gesti ufuska huo ulipofanyika la sivyo kijigazeti hiki kinatumika kumchafua Malasusa.

Vile vile gazeti haliongelei jinsi Mwakilima alivyo mdhalilisha mke wake ambaye ni mchungaji, kumpiga hadi kupelekwa hospitali.
Kesi hiyo inaendeleaje polisi?
Mwanahalisi wamepigiwa simu juu ya hili hawana majibu na simu haipokekewi!
 
Sidhani kama ni jukumu la mwanahalisi kuthibitisha ugoni!! Wao wamereport habari za ugoni toka kwa mhusika "Mwakilima" sasa ni jukumu la askofu kukanusha habari za ugoni au kuzitolea maelezo!! Na si lazima uzinzi ufanyike guest hata ofisini unaweza fanyika..
Kipigo kwa mkewe kinaweza kikawa ni matokeo ya huo uzinzi wa mke refer kitu kinaitwa HEAT OF PASSION after all huyo mgoni alifanya hayo baada ya kukuta ujumbe mfupi wa simu......
Mnazungumzia askofu kudhalilishwa hamuongelei kudhalilushwa kwa ndoa takatifu wala mme wa mchungaji!!
 
Back
Top Bottom