The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Mkuu huyu Askofu ni wa Kilutheri na anaruhusiwa kuoa na anamke!Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
Dhambi ya uzinzi si kwa vile hauna na mke bali ni kuwa na tamaa ambazo umeshindwa kuzisimamia
Mfano mzuri ni watu ambao wako kwenye ndoa zao lakini wanakamatwa kwa ugoni kila kukicha