Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

 
Jamaa alitoa go ahead ya kumchapa risasi Tundu Lissu mchana kweupe.

Hapana aisee, Ishu ya Bandari ya Dar ni tofauti na ya Bagamoyo.

Kwa bandari ya Bagamoyo chuma alichemsha, ile bandari tunaihitaji!

Aya ya mwisho imejielekeza:

"Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike Kwa amani."

Kutokuliona hilo la ubinadamu wa mja labda kama sisi ni malaika, mitume au sub'hana mwenyewe.
 
Hapana. Huyu alikuwa na roho mbaya ya kiuuaji, uporaji na kupiga watu risasi. Never and never again
R.I.P nchi itarudi kwenye msingi wake, Dkt Magufuli ilikuwa mbegu, sharti la mbegu lazima ife ili ichepue na kutoa matunda. Nyie wenye akili za kijinga kamwe hamtoweza kabisa kuihujumu hii nchi, mtachezewa game na mlivyo na akili ndogo hamtajua and you will be dying slowly one by one na hii nchi itaendelea kwa manufaa ya watanzania. Never never again nchi kuibiwa kizembe! Mark my words nothing will go unnoticed!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe.

View attachment 2648522

"Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike Kwa amani."
Huyo mtu wenu alibobea Kwa uongo Ili avute attention ya wajinga kama nyie..

Mbona hamutoneshi namna alivyoongeza mapato via Bandari?

Nadhani ni kichaa tuu na mwenye mentality za kijinga ndio anaweza Pinga kubinafsisha Bandari ambayo yeye binafsi imemshinda Toka uhuru.
 
Back
Top Bottom