ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anazimiki China Ina uendeshaji ni private operators..Bandari za china anazimiliki nani?badala ya kuweka wataalam wenye vigezo bandarini na kwenda kujifunza namna ya uendeshaji wa bandari kwenye nchi zilizoendelea tunabinafsisha kila kitu?angalia mashirika a
Yaliyobinafsishwa Leo zipo wapi?huyo Mama siku zake zimekaribia ataondolewa soon kwa aibu
Ukimuweka mtaalamu ndio utaondoa sense ya Mali ya Umma kuwa shamba la bibi? Aliyekwambia walioko bandarini sio Wataalamu nani?
Urasimu unaondolewa Kwa mtu kuwa mtaalamu? Nimeshakwambia mliweka Wanajeshi,Tisa na mkafanya Hadi ziara za kushtukiza vipi leteni mrejesho Ufanisi uliongezeka?
Private sector ni kiboko ya maujinga ujinga ya Mali ya Umma kuwa Shamba la Bibi.