Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

Hapana. Huyu alikuwa na roho mbaya ya kiuuaji, uporaji na kupiga watu risasi. Never and never again
Hua mnaishia kusema hivyo lakini hamjawahi kuleta ushahidi wa tuhuma zenu
 
Jamaa alitoa go ahead ya kumchapa risasi Tundu Lissu mchana kweupe.

Hapana aisee, Ishu ya Bandari ya Dar ni tofauti na ya Bagamoyo.

Kwa bandari ya Bagamoyo chuma alichemsha, ile bandari tunaihitaji!
Hao unaowatetea wanaishi kwa mabeberu ww kl kukicha unakimbizana na foleni mjini lkn yule aliopo/alietumwa na beberu unamuona ndio mtukufu. ..tutauzwa mpk sisi wenyewe take my note
 
Huyo mtu wenu alibobea Kwa uongo Ili avute attention ya wajinga kama nyie..

Mbona hamutoneshi namna alivyoongeza mapato via Bandari?

Nadhani ni kichaa tuu na mwenye mentality za kijinga ndio anaweza Pinga kubinafsisha Bandari ambayo yeye binafsi imemshinda Toka uhuru.
Natamani nikupe neno baya ila tu moyo wangu umejaa mema...Una ujasiri wa kutenda uovu tena hadharani, ni bahati mbaya sana mimi kuzaliwa nchi moja na mtu kama wewe, aise Mungu akusamehe!
 
HUU NDIO UKWELI JUU YA MKATABA WA .

✅Mkataba huu kati ya DP World na TPA kwa niaba ya Serikali ya JMT chini ya Rais Samia Suluhu una faida gani kwetu, kwanini mkataba huu ni muhimu sana wakati huu kuliko wakati wowote ule?

✅Kwanza, achana kabisa na propaganda za UFIPA juu ya kwamba tumetoa bandari yetu 100% iendeshwe na DP World, huu ni uwongo na wala huitaji degree wala elimu ya darasa la 7 kujua kuwa huu ni uwongo.

✅Hadi muda huu tunachojua ni kwamba, makubaliano ya awali yamesainiwa Dubai wakati Rais Samia Suluhu alipokwenda kwenye maonesho ya Dubai Expo 2020, na kama makubaliano ya mwisho yatasainiwa, basi mkataba huu utakuwa na thamani ya USD 500 milioni.

Nini Mtanzania unapaswa kujua kuhusu mkataba huu?

Kwanza, unatakiwa kujua kwamba DP World itapewa
kushughulikia gati ya 5 hadi 7.

DP World mbinu yake ni kuondoa vizuizi vya biashara na kuunda mfumo ikolojia wa biashara ili kupanua mtiririko wa biashara ya kikanda na kimataifa.

▶️Kama mkataba huu utasainiwa, ndani ya miaka 10 ijayo, ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam utaongezeka kwa asilimia 233.7%

▶️Mapato ya Bandari ya Dar es Salaam kuongezeka kutoka Trilioni 7.79 kwa mwaka hadi Trilioni 26, ndani ya miaka 10 ijayo.

▶️Ufanisi wa Bandari utaongezeka, mizogo itatoa haraka, ajira zitazalishwa kwa wingi na pia pato la taifa kuimarika maradufu.

▶️Mapato yakiongezeka kwenye kupitia Bandari ya Dar, serikali itapunguza mzigo wa kodi kwa Watanzania hivyo kuboresha hali ya maisha ya watu.

▶️DP World hawatowekeza bandari ya Dat tu, bali na bandari nyingine nchini na pia, wataalamu wetu watakwenda kupewa mafunzo na kuongezewa ubunifu kwenye utendaji wao.
Acha ulaghai, haifai...
 
Alikupiga risasi wapi??? Kwenye ukoo wako amewapiga risasi wangapi???? Usibebeshwe chuki na wewe ukazibeba bila kujua unabeba kitu gani.

Hao wahuni waliopigwa risasi walikuwa mamluki wa nchi na walistahili kupata walichopata.
Jiwe hata nikifa halafu nikafufuka nitamchukia na kumtukana
 
Actually kuna maeneo mengi sana tunatakiwa kubinafsisha!! Hata uzoaji taka umetushinda bro?? !!

So wakija waarabu wakisema wanaweza kuzoa taka haraka Kwa miaka 100 kuna shida gani ya kumpa ??

Mtu unakaa na matakataka 2 weeks jamaa hawajatokea!!

Serikali za CCM zimeshindwa ku create efficiency kwenye most of the sectors

They cant coordinate even uzoaji taka!! Wataweza bandari ?? [emoji23][emoji23]
Kabinafsishe hizo taka huko I don't care, lakini sio bandari.
 
Natamani nikupe neno baya ila tu moyo wangu umejaa mema...Una ujasiri wa kutenda uovu tena hadharani, ni bahati mbaya sana mimi kuzaliwa nchi moja na mtu kama wewe, aise Mungu akusamehe!
Hata Mimi natamani sio tuu nikupe neno baya Bali nikutokomeze kabisa
 
Nawaona hapo wanapiga makofi na bado mpaka leo wapo serikalini na bandari ndo hiyo tunazungushwaa mara imeuzwa mara laa
Hoja yako ni tatizo sugu la kuwapa majukumu wasiokuwa na kuamini wanachosimamia.

Ni marafiki wa Mungu na Shetani katika wakati mmoja.

Ndiyo maana tuna wanaojinasibu kuwa wapigania haki wenye tafsiri tofauti tofauti kutegemea na walipo.

Bure kabisa.
 
Sema alipoudhi ni kukataa ushoga na kufukuza wenye vyeti feki kazini. Hapo aliharibu sana ndo maana tunamchukia sana hasa sisi wa vyeti fake.
Haya ni mawazo yako tu. Ndiyo hukuwaona "wasiojulikana"? Hukuona mauaji, uporaji, utekaji na kupiga watu risasi??
 
Haya ni mawazo yako tu. Ndiyo hukuwaona "wasiojulikana"? Hukuona mauaji, uporaji, utekaji na kupiga watu risasi??
Unaweza kueleza haya mambo yameiadhiri nchi kiasi gani? Na watu wangapi wameuawa na nani muhusika wa watu wasiojulikana na wewe uliwahi kutekwa na nani aliporwa fedha zake maana vyeti feki mnatumia haya mambo kama kichaka chenu cha kumchukia Magufuli
 
Alikubaka mpaka ukamwekea kisasi hicho?
Ameua
Unaweza kueleza haya mambo yameiadhiri nchi kiasi gani? Na watu wangapi wameuawa na nani muhusika wa watu wasiojulikana na wewe uliwahi kutekwa na nani aliporwa fedha zake maana vyeti feki mnatumia haya mambo kama kichaka chenu cha kumchukia Magufuli
Jiwe ni jini mbwa asiyesafishika. Hqngaika uwezavyo hatosafishika. Ndiyo maana ni mwaka wa pili tu lkn kishasahaulikw na kumbukizi yake ilipuuzwa na serikali.

Hakuna kulienzi shetwani hili
 
Back
Top Bottom