Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali kabisa!
Mama tulikupenda lakini kwa hili HAPANA!
Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!
Kwa hili kamwe hatutakusamehe! Kwenye hicho kiti HUTOSHI na UMEPWAYA kabisa!
Miaka 2 iliyobaki naona ni mingi sana kwako!
CCM Kumejaa wachumia tumbo ambao wamekuwa vipofu na misukule kabisa!
Kina Wassira (Mchumia tumbo) wanakudanganya, wasikilize Butiku na Warioba unaweza ukarekebisha kidogo!
Tunasubiri hukumu ya kesi yetu Mahakama Kuu tarehe 7/8/2023!