Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

Nafasi ya kurekebisha kasoro chache za kwenye mkataba bado anayo.

Honestly speaking uwekezaji pale bandarini ni muhimu. Otherwise SGR itaishia kuwa kama TAZARA.

SSH asipuuze maoni ya wananchi, akae na DPW warekebishe yale mapungufu na kuwatoa hofu wananchi. Kisha kazi iendelee.
Kuna uhusiano gani sgr na bandari wakati sgr inaishia ndani tena sehemu moja tu
 
Urithi mnauona kwenye bandari tu?

Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?

Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!
Ndio hatutaki sasa huko kwingine kuone wewe sisi tumeona bandari
 
hivi kwa akili za kawaida
hii nguvu inayotumika kupita kila mkoa
Kila Wilaya
NI NGUVU KUBWA SANA
kiukweli CCM kwa hili kuna Jambo Jingine nyuma ya pazia!
tuseme tu HAPANA
kibidi na Muungano nao tuseme HAPANA
ili kila mtu afanye yake!
coz hatuoni faida za Muungano!
Nitashangaa mno kuona Tulia, Jerry Slas na wengine wakirudishwa Bungeni
 
Kwa hili la bandari amejiharibia big time.
Walichemsha kwenye increment ya watumishi baadaye wakabadilisha Gea angani lakini damage ilishafanyika.
CCM watazunguka mikoa yote kujaribu kuutetea mkataba mbovu lakini hata wengine wao wameanza kuona work done =zero.
Mimi ni CCM lakini nasema kabisa kwamba wanaoielewa CCM kwenye mkataba wa Bandari ni vilaza na misukule ndo maana hata Kinana amegundua hilo ndo maana sasa hivi anapigania mambo ya kipuuzi kama mishikaki kwa Bodaboda!
Kinana wambie Watanzania kwanini Samia ametoa Bandari zetu bila tender na Kwa mkataba wa Kimangungo kwa Waarabu!
Kinana usifikiri zile zama ulizozunguka na Nape Nchi nzima ndo hizi!
 
Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?

Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!

Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!

Wananchi tusikubali kabisa!
Mama tulikupenda lakini kwa hili HAPANA!

Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!

Kwa hili kamwe hatutakusamehe! Kwenye hicho kiti HUTOSHI na UMEPWAYA kabisa!

Miaka 2 iliyobaki naona ni mingi sana kwako!

CCM Kumejaa wachumia tumbo ambao wamekuwa vipofu na misukule kabisa!
Kina Wassira (Mchumia tumbo) wanakudanganya, wasikilize Butiku na Warioba unaweza ukarekebisha kidogo!

Tunasubiri hukumu ya kesi yetu Mahakama Kuu tarehe 7/8/2023!
Ametukosea sana na mkata huu wa kimangungo bado anayo nafac ya kuufutilia mbali
 
“Kuna kipingele kwenye Mkataba Hakizungumzwi sana, “Early Project Activities” Yaani kuna shughuli zitaanza kabla ya Utekelezaji wa Mradi, Sina Ushahidi Lakini 80% Shughuli Hizo zimeanza, Ni hatari unamruhusu vipi Mtu kuingia kwako Kukuchunguza kabla ya Utekelezaji?” - @IssaShivji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni CCM lakini nasema kabisa kwamba wanaoielewa CCM kwenye mkataba wa Bandari ni vilaza na misukule ndo maana hata Kinana amegundua hilo ndo maana sasa hivi anapigania mambo ya kipuuzi kama mishikaki kwa Bodaboda!
Kinana wambie Watanzania kwanini Samia ametoa Bandari zetu bila tender na Kwa mkataba wa Kimangungo kwa Waarabu!
Kinana usifikiri zile zama ulizozunguka na Nape Nchi nzima ndo hizi!
Kinana 78, angepumzishwa ili vijana wenye mawazo chanya waongoze chama.
Sasa hivi anatuongaza kwenda kaburini au hospitali. Pikipiki imetengenezwa na siti za watu wawili,. Leo hii ipandishe watu 3,huyo watatu atakaa wapi?
Kinana is ttired mentally and physically.
 
Back
Top Bottom