Utasubiri sanahuyu anatakiwa aondoke 2025 akatupwe huko zanzibar tusimwone kabisa.akaishi kwao atuachie tanganyika yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasubiri sanahuyu anatakiwa aondoke 2025 akatupwe huko zanzibar tusimwone kabisa.akaishi kwao atuachie tanganyika yetu.
Duh bado tu hujapata majibu yako.Imezikwa kabisa nyota yake...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hamia BurundiHafai kabisa.
Watu wake wa karibu wamefanikisha walichokitaka juu yake. Walitafuta jinsi ya kumvuruga wananchi wamuone ni kivuruge asiyejua afanyalo na wamefanikiwa ili wapate sababu nzuri kwao ya kumpelekea 2025 akae kando, hakika wamefanikiwa.Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali kabisa!
Mama tulikupenda lakini kwa hili HAPANA!
Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!
Kwa hili kamwe hatutakusamehe! Kwenye hicho kiti HUTOSHI na UMEPWAYA kabisa!
Miaka 2 iliyobaki naona ni mingi sana kwako!
CCM Kumejaa wachumia tumbo ambao wamekuwa vipofu na misukule kabisa!
Kina Wassira (Mchumia tumbo) wanakudanganya, wasikilize Butiku na Warioba unaweza ukarekebisha kidogo!
Tunasubiri hukumu ya kesi yetu Mahakama Kuu tarehe 7/8/2023!
Wewe ni zwazwa, kwahiyo kama mliiba kwenye Madini na kwingineko basi mnataka muendelee kuiba tu!Urithi mnauona kwenye bandari tu?
Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?
Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!
Mkuu hiyo kazi unayosema iendelee ni ipi ? Yakuuza rasilimari za Tanganyika 🤣🤣Nafasi ya kurekebisha kasoro chache za kwenye mkataba bado anayo.
Honestly speaking uwekezaji pale bandarini ni muhimu. Otherwise SGR itaishia kuwa kama TAZARA.
SSH asipuuze maoni ya wananchi, akae na DPW warekebishe yale mapungufu na kuwatoa hofu wananchi. Kisha kazi iendelee.
WASHAURI WAKE WAMEMUINGIZA KWENYE GIZA NENE SASAWanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali kabisa!
Mama tulikupenda lakini kwa hili HAPANA!
Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!
Kwa hili kamwe hatutakusamehe! Kwenye hicho kiti HUTOSHI na UMEPWAYA kabisa!
Miaka 2 iliyobaki naona ni mingi sana kwako!
CCM Kumejaa wachumia tumbo ambao wamekuwa vipofu na misukule kabisa!
Kina Wassira (Mchumia tumbo) wanakudanganya, wasikilize Butiku na Warioba unaweza ukarekebisha kidogo!
Tunasubiri hukumu ya kesi yetu Mahakama Kuu tarehe 7/8/2023!
Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali kabisa!
Mama tulikupenda lakini kwa hili HAPANA!
Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!
Kwa hili kamwe hatutakusamehe! Kwenye hicho kiti HUTOSHI na UMEPWAYA kabisa!
Miaka 2 iliyobaki naona ni mingi sana kwako!
CCM Kumejaa wachumia tumbo ambao wamekuwa vipofu na misukule kabisa!
Kina Wassira (Mchumia tumbo) wanakudanganya, wasikilize Butiku na Warioba unaweza ukarekebisha kidogo!
Tunasubiri hukumu ya kesi yetu Mahakama Kuu tarehe 7/8/2023!
Jamaa anatoaga Lugha nzuri sio ya kuudhi ila ndani yake imebeba ujumbe mzito mno"Labda mambo yaharibike sana"
Mtasubiri sana2025 ni mbali mno!
Ingekuwa Tanzania Ina Wananchi wanaojitambua alipaswa kutoka au kutolewa leo!
Huwezi fanya uhujumu kwa Taifa kiasi kama hicho ukabaki tu salama na kusema unaziba masikio!
Only in Tanzania!
Dpw hawawezi kurekebisha hata nukta.. Wale ni wazee wa mtelezo, vilima hawaviweziNafasi ya kurekebisha kasoro chache za kwenye mkataba bado anayo.
Honestly speaking uwekezaji pale bandarini ni muhimu. Otherwise SGR itaishia kuwa kama TAZARA.
SSH asipuuze maoni ya wananchi, akae na DPW warekebishe yale mapungufu na kuwatoa hofu wananchi. Kisha kazi iendelee.
Burundi utaenda na huyo mama'ko.Hamia Burundi
Imezikwa kabisa nyota yake...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Urithi mnauona kwenye bandari tu?
Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?
Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!
Ndo hivyo yaana hata ma CCM wanamuona kituko maana hili la bandari hata hawalielewi ,yaan kwa kifup amewapa ccm kazi ngumu sana kwa kweli ,na uterezi wake hauelewekiWanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?