Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

Duh bado tu hujapata majibu yako.
Mbona Lisu ana majibu ya maswali yako yote. Au huwa humsikizi
 
Watu wake wa karibu wamefanikisha walichokitaka juu yake. Walitafuta jinsi ya kumvuruga wananchi wamuone ni kivuruge asiyejua afanyalo na wamefanikiwa ili wapate sababu nzuri kwao ya kumpelekea 2025 akae kando, hakika wamefanikiwa.
Japo hakutarajia kuwa at the highest post, lakini upepo ulianza kumbeba, she started being too wise and capable.
Sasa hivi nadhani yeye mwenyewe is totally lost inside her own mind. Mambo mengi anayasikia yanapolalamikiwa, haamini kama wanaomshauri wanaweza wakayapitisha hayo madude. Vita ya ndani ni kubwa.
 
Urithi mnauona kwenye bandari tu?

Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?

Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!
Wewe ni zwazwa, kwahiyo kama mliiba kwenye Madini na kwingineko basi mnataka muendelee kuiba tu!
Hizi ni akili au matope? ( In Tundu Lissu's voice).
 
2025 ni mbali mno!
Ingekuwa Tanzania Ina Wananchi wanaojitambua alipaswa kutoka au kutolewa leo!
Huwezi fanya uhujumu kwa Taifa kiasi kama hicho ukabaki tu salama na kusema unaziba masikio!
Only in Tanzania!
 
Mda mrefu sijasikia kauli ya anaupiga mwingi sio mitandaon wala kwenye vyombo vya habar
 
Mkuu hiyo kazi unayosema iendelee ni ipi ? Yakuuza rasilimari za Tanganyika 🤣🤣
 
WASHAURI WAKE WAMEMUINGIZA KWENYE GIZA NENE SASA
 
Huwezi Mama hata kujiuliza kwamba mbona mambo madogo madogo kama kupokea Ndege mnawaalika Wananchi lakini hili la Bandari zetu kimya kimya ughaibuni ukasaini mikataba!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
2025 ni mbali mno!
Ingekuwa Tanzania Ina Wananchi wanaojitambua alipaswa kutoka au kutolewa leo!
Huwezi fanya uhujumu kwa Taifa kiasi kama hicho ukabaki tu salama na kusema unaziba masikio!
Only in Tanzania!
Mtasubiri sana
 
Dpw hawawezi kurekebisha hata nukta.. Wale ni wazee wa mtelezo, vilima hawaviwezi
Wako tayari kumwaga mpunga maradufu zaidi kuliko kuondoa hata alama ya mkato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia aliendekeza udini kwa kuwabeba waarabu bila kuangalia mkataba una uhaini
 



Asante sana ume summarize vizuri binafsi umenisaidia kuelewa content vizuri na matatizo yaliyopo.

[emoji120][emoji56]
 
Urithi mnauona kwenye bandari tu?

Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?

Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!



Kwani huko nako kumeuzwa?

We are not informed! [emoji848]

Ndipo sasa hivi tumeanza kusikia fununu kuwa ngorongoro sijui na Mwinyi Eti aliuzaga?!

Kumbe Mwingi nae alikuwa mpigaji?
 
Ndo hivyo yaana hata ma CCM wanamuona kituko maana hili la bandari hata hawalielewi ,yaan kwa kifup amewapa ccm kazi ngumu sana kwa kweli ,na uterezi wake haueleweki
 
Mama alishpotea kitambo sana. Kwanza Ubaguzi wake kwenye teuzi zake pekee ilishamtoa kwenye Reli. Akifanya uteuzi utadhani anaunda Baraza la BAKWATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…