Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

Kwani huko nako kumeuzwa?

We are not informed! [emoji848]

Ndipo sasa hivi tumeanza kusikia fununu kuwa ngorongoro sijui na Mwingi Eti aliuzaga?!

Kumbe Mwingi nae alikuwa mpigaji?
Mwinyi aliuza pori la Loliondo maxima na Kikwete aliuza gesi ya Mtwara for good. Kwann hamkuwapigia kelele kama hv??

Mnamuonea kwa uanamke wake?
Ama mnamuonea kwa uzanzibari wake?
 
Nyota aliipata wapi?

Ukumbuke tar 17.3.2021 alitokea pasipojulikana aksibukia kwenye ziara isiyo rasmi mkoani TANGA.
Akatuambia Rais anawasalimia bila kuulizwa .

Usiku anatangaza Rsis amefariki!!!!
 
Mwinyi aliuza pori la Loliondo maxima na Kikwete aliuza gesi ya Mtwara for good. Kwann hamkuwapigia kelele kama hv??

Mnamuonea kwa uanamke wake?
Ama mnamuonea kwa uzanzibari wake?



Hapana wengine hatukuwa informed,

Kuhusu uwanawake msijemjaribu kulileta kama ajenda mtaharibu.

Kama ambavyommeleta la udini na limeshaanza kuonekana halina mashiko.

Mimi nasema akosolewe Kama mtu binadamu wa kawaida na sio sababu ya uanawake wake sababu hata wanaume wamekuwa wakikosea Na walotufikisha hapa ambapo uhakika wa huduma za msingi kama vile Maji na Umeme hakuna through out the year achilia mbali mengine mengi.
 
Nyota aliipata wapi?

Ukumbuke tar 17.3.2021 alitokea pasipojulikana aksibukia kwenye ziara isiyo rasmi mkoani TANGA.
Akatuambia Rais anawasalimia bila kuulizwa .

Usiku anatangaza Rsis amefariki!!!!



Alisema ana vimafua tu vya hapa na pale ambayo ni kawaida ya mwanadamu yeyote kuweza kumpata.
 
Mwinyi aliuza pori la Loliondo maxima na Kikwete aliuza gesi ya Mtwara for good. Kwann hamkuwapigia kelele kama hv??

Mnamuonea kwa uanamke wake?
Ama mnamuonea kwa uzanzibari wake?



Kumbe mzee Mwinyi naye ni Mtambo na Kamanda kwenye Upigaji?

[emoji2297][emoji2357]
 
Haya yote yanatokea tokana system kutokua makini , au peleka mambo kiccm ccm badala ki nchinchi , mtu alianzia masijala huko haijalishi hata kama alikua kipenyo au kuwa na nafasi mbalimbali, then mnakubali awe mgombea mweza wakidhani rais ni Mungu hawezi kufa , kafa makam kawa rais sasa yanatukuta .

Eti Mwanvita sasa ndo mshauri ,kesho utakuta mwajuma ndo mshauri

Huyu mama wenda nyuma kuna mambo ya hovyo kuliko hata ili la bandari , Mungu anamuona
 
Hii mimi nimeipenda sana.
DPW ni kampuni kubwa.

Serikali iwajumuishe wanasheria wazalendo kuanzia Chama cha Wanasheria waurekebishe huo mkataba. Waanze kazi

DPW aanze kazi mara moja.

Kipengele kimoja kiseme hivi.

Kama fulsa yoyote ya uwekezaji Bandarini itajitokeza popote pale basi Sisi DPW tunaiomba Serikali itujulishe pia ili tujumuike na kampuni nyingine kuomba tenda ya kuiendesha na hiyo Bandari kama tutaendelea kuaminiwa katika kazi yetu.

Lugha ikae sawa ili hilo ombi la kuambiwa liwe sio la lazima bali kama Serikali itapenda kuwajulisha.
 
Good!
 
Mwendazake alituletea hilo dubwasha!
 
Labda huyo ni mamako, Samia nyota yake hakuna anayeweza kuizima, ndio inawaka hasa kimataifa. Huoni hata aibu unakaa kuandika huu ujinga
 
huyu anatakiwa aondoke 2025 akatupwe huko zanzibar tusimwone kabisa.akaishi kwao atuachie tanganyika yetu.
kwanza nyie sijui km hiyo 2025 bado mtakuwa na akili timamu pengine mmeshakuwa wehu barabarani. Mama ataongoza mpaka 2030 hakuna wa kuzuia hilo.
 
Mama anaona noma kuwaangusha wajomba maana wameshamuhaidi 10% yake ataikuta Dubai baada yakuachia madaraka
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo

8.) Kwa nini zabuni ya uwezekezaji haikutangazwa? Kwa nini Mbarawa alidanganya kuwa Zabuni ilitangazwa?

9.) KWA nini walikaa na mkataba kwa miezi tisa kisha wakaupeleka bungeni kwa hati ya dharula?

10.) Kwa nini Zanzibar wameingia ubia na kampuni ya Global Logistics (AGL) kuendesha bandari zao na sio DPW na tena kwa miaka mitano tu?
 
Kkahaba wewe
 
Kapoteza influence kapoteza credibility. Hatumuani na hatumpendi
 
Urithi mnauona kwenye bandari tu?

Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?

Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!
Wewe utakuwa muathirika wa elimu ya bule. Kama huko kwingine tuiipigwa unaalarisha tuendelee kupigwa kwenye bandari??
 
Mwinyi aliuza pori la Loliondo maxima na Kikwete aliuza gesi ya Mtwara for good. Kwann hamkuwapigia kelele kama hv??

Mnamuonea kwa uanamke wake?
Ama mnamuonea kwa uzanzibari wake?
Kwahiyo unataka tuendelee kupigwa?? Ney alikuwa sahihi kuwaita viongozi panyalodi mliovalishwa suti
 



Aisee kumbe duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…