Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

Kuna uhusiano gani sgr na bandari wakati sgr inaishia ndani tena sehemu moja tu
 
Urithi mnauona kwenye bandari tu?

Mbona madini, gesi na mapori ya wanyama yamezwa hamkupiga kelele kiasi hiki?

Tukisema mna maslahi binafsi pale bandarini mnabisha!
Ndio hatutaki sasa huko kwingine kuone wewe sisi tumeona bandari
 
hivi kwa akili za kawaida
hii nguvu inayotumika kupita kila mkoa
Kila Wilaya
NI NGUVU KUBWA SANA
kiukweli CCM kwa hili kuna Jambo Jingine nyuma ya pazia!
tuseme tu HAPANA
kibidi na Muungano nao tuseme HAPANA
ili kila mtu afanye yake!
coz hatuoni faida za Muungano!
Nitashangaa mno kuona Tulia, Jerry Slas na wengine wakirudishwa Bungeni
 
Mimi ni CCM lakini nasema kabisa kwamba wanaoielewa CCM kwenye mkataba wa Bandari ni vilaza na misukule ndo maana hata Kinana amegundua hilo ndo maana sasa hivi anapigania mambo ya kipuuzi kama mishikaki kwa Bodaboda!
Kinana wambie Watanzania kwanini Samia ametoa Bandari zetu bila tender na Kwa mkataba wa Kimangungo kwa Waarabu!
Kinana usifikiri zile zama ulizozunguka na Nape Nchi nzima ndo hizi!
 
Ametukosea sana na mkata huu wa kimangungo bado anayo nafac ya kuufutilia mbali
 
“Kuna kipingele kwenye Mkataba Hakizungumzwi sana, “Early Project Activities” Yaani kuna shughuli zitaanza kabla ya Utekelezaji wa Mradi, Sina Ushahidi Lakini 80% Shughuli Hizo zimeanza, Ni hatari unamruhusu vipi Mtu kuingia kwako Kukuchunguza kabla ya Utekelezaji?” - @IssaShivji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinana 78, angepumzishwa ili vijana wenye mawazo chanya waongoze chama.
Sasa hivi anatuongaza kwenda kaburini au hospitali. Pikipiki imetengenezwa na siti za watu wawili,. Leo hii ipandishe watu 3,huyo watatu atakaa wapi?
Kinana is ttired mentally and physically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…