Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

Ufafanuzi upi? Atuambie article 8 ukiisoma pamoja na article 23(4) ina imply nini?

Msitupoteze hatudanganyiki...Kuigawa ardhi yetu huku mkiweka clouses za kutovunjika mkataba ni kupoka uhuru ambao tuliupigania...Acheni hizo!
Huo mkataba uko wapi?
 
Huo mkataba uko wapi?

mkataba wote ninao PDF unadhani wewe peke yako unaweza ukauuchungulia.

Nimeusoma siku 2 ili kuuelewa lkn kwa conclusion yangu ni hii

HUO MKATABA HAUNA MASLAHI NA NCHI

UNATAKA KUTUAMBIA NINI WE KIKONGWE?
 
mkataba wote ninao PDF unadhani wewe peke yako unaweza ukauuchungulia.

Nimeusoma siku 2 ili kuuelewa lkn kwa conclusion yangu ni hii

HUO MKATABA HAUNA MASLAHI NA NCHI

UNATAKA KUTUAMBIA NINI WE KIKONGWE?
Huo mkataba uko wapi?
 
Porojo ndeefuu afu shudu tu... hujaona taarifa kwamba muda wa mkataba utajadiliwa katika mkataba wa utekelezaji!?
 
Huo mkataba uko wapi?
tunasema hv dada faiza kamwambie uyo dada ako tulia na uyo mama ako waliokutuma kuwa wameikosea sana ii nchi pamoja na wa tz wote kasoro wewe na waambie uo mkataba hatuutaki.. Nakuhakikishia tuliisema sana tz kua n nchi ya aman ila katika hili itageuka uwanja wa vita, huku hao unaowatetea wameshapewa mapesa kwa kuruhusu dili ya kishenz ii kuwai kutokea huku wakiahdiwa maisha mazuri nchi za nje baad ya kumaliza utumishi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…