Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

Vijana mna matatizo vichwani yaani nikatafute mimi wakati wajuzi wa haya mambo mpoo.

SI MTUJUZE KIZALENDO SASA KIUWAZI.

Huo mkataba kuwa nao ni ishue ya siri halafu niuanike hapa kivipi.

Mbowe na wenzake hawajathubutu unataka mm niuweke hapa ili iweje
 
Spika nakuheshimu sana Tafadhali acha mambo ya kijinga.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kilichokwamisha bandari ya Bagamoyo ndicho mmekuja kukiweka kama sehemu ya mkataba ili hali ardhi yetu haiwezi kupewa wageni, tena imewekwa kijanja...Kama ni kuendesha bandari, hiyo ni mfrustructure, ardhi inahusiana vipi na kuendesha ama kuendeleza? Bandari tukitofaitiana mnaweza kung'oa mitambo yenu, lakini mkichukua ardhi yetu tutairejeshaje?

Huo mkataba ni kama ule wa Loliondo na unahatarisha uhuru wa mtanzania maana sheria ya ardhi inampa Rais ruhusa ya ku revoke hati in case land will be needed for other valuable uses to the public saa yeyote ile public inapoona inafaa kwakua land is a public property kwa Tanzania; lakini hiyo clause 23 (4) na nyinginezo katika huo hilo Azimio ndiyo inamwondolea Rais hayo mamlaka...Lakini tukumbuke Rais ni custodian tu, the land belongs to the public of Tanzania, which means ukiondoa mamlaka hayo umeifanya hiyo specific land iwe mikononi mwa nchi nyingine na siyo kwa watanzania kwakua tutakuwa tume transfer ownship right na siyo bundles of rights ambazo ndizo individuals na groups wanapewa hapa Tanzania......You are alienating the land to a foreign country na ina cease kuwa owned na watanzania...Hakuna mtu Tanzania ana own land ispokuwa public na mamlaka hiyo imekasimiwa kwa Rais, kumwondolea hayo mamlaka ni kufanya transfer ya ownership ya land...Ownership hiyo ndiyo soverignity yenyewe ya nchi...Atleast ki property rights I can deduce that, wanasheria mnashindwa ku interpret hizo natural resources property rights, mmeingiza raia kwenye conflicts na sasa mnataka kutupeleka kwenye conflicts za nchi na nchi...
 
MBOWEE
Huo mkataba kuwa nao ni ishue ya siri halafu niuanike hapa kivipi.

Mbowe na wenzake hawajathubutu unataka mm niuweke hapa ili iweje tena 🙌🙌

🚶🚶🚶🚶
 
Huo mkataba uko wapi?
 
Spika nakuheshimu sana Tafadhali acha mambo ya kijinga.
Yaani akemewe kwa lugha zote za wanadamu na malaika maana ataisababishia nchi hasara ambayo kuirejesha pengine tutamwaga damu zetu.
 
Yaani akemewe kwa lugha zote za wanadamu na malaika maana ataisababishia nchi hasara ambayo kuirejesha pengine tutamwaga damu zetu.
Huo mkataba uko wapi?
 
Anamtisha Nani?

Hi nchi Hadi tunyooshane viungo na damu imwagike ndiyo hawa watu akili itawakaa sawa. Vinginevyo watazidi kutuona watz ni madungunduka tusiojielewa.
Keyboard warrior [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
 
Bora mh.Spika ameongea hayo....

Jana na leo nimekunywa kahawa vijiwe 6 kila ninapopita ninakuta mashambulizi hayo dhidi ya mh.SSH na serikali hii....yaani wanamchafua sana mama....ni UPOTOSHAJI kwa kwenda mbele....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kilichokwamisha bandari ya Bagamoyo ndicho mmekuja kukiweka kama sehemu ya mkataba ili hali ardhi yetu haiwezi kupewa wageni, tena imewekwa kijanja...Kama ni kuendesha bandari, hiyo ni mfrustructure, ardhi inahusiana vipi na kuendesha ama kuendeleza? Bandari tukitofaitiana mnaweza kung'oa mitambo yenu, lakini mkichukua ardhi yetu tutairejeshaje?

Huo mkataba ni kama ule wa Loliondo na unahatarisha uhuru wa mtanzania maana sheria ya ardhi inampa Rais ruhusa ya ku revoke hati in case land will be needed for other valuable uses to the public saa yeyote ile public inapoona inafaa kwakua land is a public property kwa Tanzania; lakini hiyo clause 23 (4) na nyinginezo katika huo hilo Azimio ndiyo inamwondolea Rais hayo mamlaka...Lakini tukumbuke Rais ni custodian tu, the land belongs to the public of Tanzania, which means ukiondoa mamlaka hayo umeifanya hiyo specific land iwe mikononi mwa nchi nyingine na siyo kwa watanzania kwakua tutakuwa tume transfer ownship right na siyo bundles of rights ambazo ndizo individuals na groups wanapewa hapa Tanzania......You are alienating the land to a foreign country na ina cease kuwa owned na watanzania...Hakuna mtu Tanzania ana own land ispokuwa public na mamlaka hiyo imekasimiwa kwa Rais, kumwondolea hayo mamlaka ni kufanya transfer ya ownership ya land...Ownership hiyo ndiyo soverignity yenyewe ya nchi...Atleast ki property rights I can deduce that, wanasheria mnashindwa ku interpret hizo natural resources property rights, mmeingiza raia kwenye conflicts na sasa mnataka kutupeleka kwenye conflicts za nchi na nchi...

FaizaFoxy mimi sijausoma huo mkataba lakini soma hoja kama hii hapa.
 
Miaka 100, kizazi changu cha 4 kinaweza kuja kuucha mkataba ukiwa valid.
 
Back
Top Bottom