Sasa hapo wakina mwamposa wameingiaje? wao ndo wanatuma watu wabake au wahusika wa vyombo vya dola kukaa kimya. myonge nmyongeni haki yake mpatie. hapa lawama ni kwa wahusika wanaosaababisha kupindishwa kwa sheria.Akina Mwamposa na wenzake badala wakemee haya mapepo kwenye madhabahu yao wao kila siku ni matamasha. Leo ya kuwasha mishumaa, kesho tochi za simu mara sijui komboa nyota. Vitu vya ujingaujinga tu mradi wapige hela. Haya mapepo ya ukatili yaliyoibuka ndo ya kudili nayo kama huo uwezo wanao
Akina mwamposa wanahubiri neno LA Mungu - kuacha dhambi. Matendo mabaya kama kubaka, kulawiti ni miongoni mwa dhambi.Akina Mwamposa na wenzake badala wakemee haya mapepo kwenye madhabahu yao wao kila siku ni matamasha. Leo ya kuwasha mishumaa, kesho tochi za simu mara sijui komboa nyota. Vitu vya ujingaujinga tu mradi wapige hela. Haya mapepo ya ukatili yaliyoibuka ndo ya kudili nayo kama huo uwezo wanao
Ukisubiri maombi/miujiza ya hao matapeli ni sawa na kusubiri meli ubungo. Dawa ni kujichukulia sheria mkononiAkina Mwamposa na wenzake badala wakemee haya mapepo kwenye madhabahu yao wao kila siku ni matamasha. Leo ya kuwasha mishumaa, kesho tochi za simu mara sijui komboa nyota. Vitu vya ujingaujinga tu mradi wapige hela. Haya mapepo ya ukatili yaliyoibuka ndo ya kudili nayo kama huo uwezo wanao
OCD Songe nnianze kwa kumpa pole kama tukio ni la kweli, JF ni zaidi ya serikaĺi..Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani Tanga. Ni zaidi ya wiki kama tatu hivi tangu tukio hilo lifanyike lakini rushwa ndio inatembea.
Tukio hilo limetokea jirani na mji wa Songe Kijiji kiitwacho Kwamwande ambapo binti huyo aliitwa na jamaa aliyekuwa amezaa nae kwamba eti akachukue matumizi.
Baada ya msichana huyo kufika kumbe walijiandaa vijana nane kumuingilia dada huyo ambae alikuwa amejifungua hata siku arobaini hajamaliza.
Inasemekana vijana waliofanikiwa kumuingilia walikuwa watano. Ingawa baadhi walikamatwa na polisi pia walipewa dhamana kwa sharti la kila mmoja kutoa laki tano. Kilichopo ni ukimya usiokuwa na majibu.
Rushwa imetumika kumkosesha binti huyu haki yake.
OCD Songe achunguzwe kwa kulikalia kimya suala hili na kutowafuatilia wabakaji wengine Ili kumpatia haki msichana huyo.
Hata baada ya kutoka hospitalini msichana huyo aliendelea kupata tabu maumivu makali ya kubakwa na watu watano huko akiwa bado alijifungua siku sio nyingi.
Natoka rai kwa makundi mbalimbali wasaidie haki ya mtanzania huyo
Tukio nilakweki lakini ufuatiliaji nimdogo sana kama sio hamna ufuatiliajiOCD Songwe nnianze kwa kumpa pole kama tukio ni la kweli, JF ni zaidi ya serikaĺi..
Rushwa nayo nisehemu ya tatizoVyombo vyetu shida iko hapa, wanasubiri pressure baada ya kutrend vitu ndio washughulikie
Anamaanisha jamii iombewe na hao wanaojiita manabii maana ukatili umezidi. Mtaani ukatili wa kutosha na polisi nao nimakatili maana wanaacha wahalifu watambe mitaaniSasa hapo wakina mwamposa wameingiaje? wao ndo wanatuma watu wabake au wahusika wa vyombo vya dola kukaa kimya. myonge nmyongeni haki yake mpatie. hapa lawama ni kwa wahusika wanaosaababisha kupindishwa kwa sheria.
Sio Songwe ni Songe wilaya ya Kilindi TangaOCD Songwe nnianze kwa kumpa pole kama tukio ni la kweli, JF ni zaidi ya serikaĺi..
Ukinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani Tanga. Ni zaidi ya wiki kama tatu hivi tangu tukio hilo lifanyike lakini rushwa ndio inatembea.
Tukio hilo limetokea jirani na mji wa Songe Kijiji kiitwacho Kwamwande ambapo binti huyo aliitwa na jamaa aliyekuwa amezaa nae kwamba eti akachukue matumizi.
Baada ya msichana huyo kufika kumbe walijiandaa vijana nane kumuingilia dada huyo ambae alikuwa amejifungua hata siku arobaini hajamaliza.
Inasemekana vijana waliofanikiwa kumuingilia walikuwa watano. Ingawa baadhi walikamatwa na polisi pia walipewa dhamana kwa sharti la kila mmoja kutoa laki tano. Kilichopo ni ukimya usiokuwa na majibu.
Rushwa imetumika kumkosesha binti huyu haki yake.
OCD Songe achunguzwe kwa kulikalia kimya suala hili na kutowafuatilia wabakaji wengine Ili kumpatia haki msichana huyo.
Hata baada ya kutoka hospitalini msichana huyo aliendelea kupata tabu maumivu makali ya kubakwa na watu watano huko akiwa bado alijifungua siku sio nyingi.
Natoka rai kwa makundi mbalimbali wasaidie haki ya mtanzania huyo
Afya ya akili imetawala. Hata hao unayosema wafanye ufuatiliaji wenyewe baadhi afya ya akili ni dhoofulihali. Kama yule aliyekua RPC aliyesema dada wa Yombo alikua anajiuza. Hakua sawa yule mamaUnajua kuna vitu vinaumiza sana mama wa mtoto wako unampeleka wakambake washikaji ili iweje sasa??. Kweli tatizo la afya ya akili bongo walitizame kwa makini kuna vichaa tunaishi nao.Serikali ianze kampeni ya watu kupima afya za akili zetu.
Ahsante sana mama. Ninaamini utafanya ufuatiliaji na utatoa mrejesho jukwaani kama serikaliUkinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.
Sidhani kama walirekodi mkuu.Hata hivyo sio jambo jema. Hata kama kungekua na video isingekua vyema kuituma hapa maana nikuzidi kumdhalilisha muhangaVideo yao iko wapi tulinganishe?