DOKEZO Sakata la binti wa Yombo lilishatokea kama hilo Kilindi -Tanga

DOKEZO Sakata la binti wa Yombo lilishatokea kama hilo Kilindi -Tanga

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umeambiwa na Mheshimiwa hapo kwamba umtaje aliyefanyiwa hicho kitendo ili iwe rahisi kumsaidia haki yake ipatikane, kama unaogopa kumtaja hadharani mtumie hata PM.
Pamoja na yote hata OCD anajua na atatajiwa akimuuliza.
Hata majina ya wahalifu akitaka umri wao,shuhuli zao ataambiwa
 
Unajua kuna vitu vinaumiza sana mama wa mtoto wako unampeleka wakambake washikaji ili iweje sasa??. Kweli tatizo la afya ya akili bongo walitizame kwa makini kuna vichaa tunaishi nao.Serikali ianze kampeni ya watu kupima afya za akili zetu.
Na pia imagine et ni mzaz ambaye baaadi maternity bado kabisaa..40 days huyu hata mfumo wake wa uzaz haujarud sawa sawa, unaanzaje kumtenda ukatil mkuu namna hii??
 
Tbh, matukio ya hivyo yako mengi sana Tanzania, swala ni kwamba watendwaji wanakosaga watu wa kuwapazia sauti. Mimi binafsi up to this age nishasikia kesi kama hayo si chini ya tano (5). Nashauri jamii iamke na tuanze kupaza sauti zetu ili haki za hao wasichana zisipotee bure. Tuanze na huyo wa Songe. Nadhani mama Gwajima yupo humu. Alione kwenye file Dkt. Gwajima D
 
Ninafanya jitihada za kupata namba za baba mzazi wa aliyefanyiwa ukatili
Wewe nawe unamvunja nguvu Waziri unaanzishaje uzi wa jambo muhimu kama hilo huku huna details za muhusika au watu wake wa karibu! Waziri anataka details afuatilie unaleta danadana,toa ushirikiano kwa Waziri ili haki itendeke.
 
Mkuu zinafanyika jitihada. Elewatu hivyo.
Hata hili nililofanya sio dogo. Miongoni mwa watu wa karibu ambao angetoa ushirikiano simu yake ni mbovu.
Ninaamini hata hapo lilipofikia mwanga umeonekana
 
Tbh, matukio ya hivyo yako mengi sana Tanzania, swala ni kwamba watendwaji wanakosaga watu wa kuwapazia sauti. Mimi binafsi up to this age nishasikia kesi kama hayo si chini ya tano (5). Nashauri jamii iamke na tuanze kupaza sauti zetu ili haki za hao wasichana zisipotee bure. Tuanze na huyo wa Songe. Nadhani mama Gwajima yupo humu. Alione kwenye file Dkt. Gwajima D
Wanyonge wasaidiwe kupaza sauti
 
Mheshimiwa hongera sana umekuwa mfuatiliaji wa matatizo ya wananchi kila unapopata taarifa tena kwa haraka,Mungu akubariki sana.
Polisi ndio wanakua sehemu ya tatizo. Wananchi wakiona hakuna hatua zinazochukuliwa wanapiga moyo konde wabakietu na masahibu yao
 
Ukinisaidia kuniunganisha na walalamikaji itakuwa vema sana. Wakati huo, kwa taarifa hii, ngoja tuwasiliane na huko Tanga.
We ndugu Rigidity nenda kacheki na mh waziri inbox...mpe taarifa zote muhimu! Utakuwa umesaidia sana kupatikana haki ya huyo binti! Fanya hima
 
Akina Mwamposa na wenzake badala wakemee haya mapepo kwenye madhabahu yao wao kila siku ni matamasha. Leo ya kuwasha mishumaa, kesho tochi za simu mara sijui komboa nyota. Vitu vya ujingaujinga tu mradi wapige hela. Haya mapepo ya ukatili yaliyoibuka ndo ya kudili nayo kama huo uwezo wanao
HAPA NAONA UMEANDIKA KWA CHUKI TU. YE MWAMPOSA ANA NAFASI GANI KIUONGOZI SIASANI? NA KWA NINI YEYE NDO AKEMEE? SI WAPO WATU WENGI TU WA KUWEZA KEMEA?
 
Tumwekeza nguvu nyingi na mapato mengi kwenye siasa kuliko Taasisi na utendaji kazi thabiti wa Taasisi hizo!

Vyombo vya habari vyote vimewekeza kwenye siasa kuliko ueledi na mambo mtambuka ya maendeleo ndio Maana tunashindwa kusonga mbele kama Taifa!!

Inasikitisha sana!
 
Back
Top Bottom