Amekwambia msaidie kumuunganisha na walalamikaji, wewe unaleta mapambio. Mpe namba afanye mawasiliano.Ahsante sana mama. Ninaamini utafanya ufuatiliaji na utatoa mrejesho jukwaani kama serikali
Binti alishafanyiwa mpaka matibabu lakini hakuna kesi inayoendelea wabakaji haijulikani watachukuliwa hatua au vipi.
Ustawi wa jamii wamelala fofofo
TAKUKURU waingie wanuse watakuambia harufu iliyopo hapo Songe
Ondoeni huyo OCD na hilo dawati lake. Wamekula laki tano kwa kila mbakaji waliyemkamata Ili watoe dhamana
Hii ni aibu mama. Narudia kukutakia ufuatiliaji mwema na utoe mrejesho