Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Batuli nilikua namuona wa maana ila kumbe ndiyo wale wale, ila uwoya kaongea point wafanye kazi zinazowahusu mambo ya siasa wawaachie wakina kinana
Wale wale kina nani? Waliozungusha yani? Yani fa fa faa?? Auuu ?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
UWOYA NASKIA KAITWA HOLLYWOOD KWENDA KUIGIZA FILAMU NA DENZEL WASHINGTON...
 
Mmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi
Mi nina mawili tuu kwao
Moja ni kua kwan lazima nae angepost?,ajifunze kunyamaza na watafute style mbadala ya kufikishiana ujumbe.
La pili mie namtaka Uwoya..Warumi nisaidie
[HASHTAG]#Cpendagi[/HASHTAG] ujinga#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…