FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Wolper ni yule chapombe.Uwoya na Wolper huwa nawachanganya, yaani mimi.............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wolper ni yule chapombe.Uwoya na Wolper huwa nawachanganya, yaani mimi.............
ewaa ndo yy!!huyo yupo kwenye fake smile mama wa3 huyuSijambo kabisa................ndo huyu nadhani, ila sijawah kuangalia muvu yeyote inayomhusu yeye
![]()
Daudi alifaidiSijambo kabisa................ndo huyu nadhani, ila sijawah kuangalia muvu yeyote inayomhusu yeye
![]()
Wale wale kina nani? Waliozungusha yani? Yani fa fa faa?? Auuu ?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Batuli nilikua namuona wa maana ila kumbe ndiyo wale wale, ila uwoya kaongea point wafanye kazi zinazowahusu mambo ya siasa wawaachie wakina kinana
Wolper ni yule chapombe.
Siriaz?Daudi alifaidi
You mean ana watoto 3?ewaa ndo yy!!huyo yupo kwenye fake smile mama wa3 huyu
Filamu inatumia lugha ganiUWOYA NASKIA KAITWA HOLLYWOOD KWENDA KUIGIZA FILAMU NA DENZEL WASHINGTON...
Daudi amewachakaza mno Bongo movie kina wolper hawa wasanii ni jipu kweliDaudi alifaidi
Kiingereza na Kiswahili mkuu.Filamu inatumia lugha gani
Kumbe Batuli ana three kids, Daudi alipoukwaa UDC alianzaga na Batuli pia tetesi zadai Batuli ana deshi deshiYou mean ana watoto 3?
Kuna mtu anaitwa kifinga kanifinyia anasema kilikua chakula cha Daud
Huyo lugha ya malkia hajuiUWOYA NASKIA KAITWA HOLLYWOOD KWENDA KUIGIZA FILAMU NA DENZEL WASHINGTON...
Aisee watu wana ubuyu hapa mjini hadi unaweza kupagawa kabisaKumbe Batuli ana three kids, Daudi alipoukwaa UDC alianzaga na Batuli pia tetesi zadai Batuli ana deshi deshi
Mi nina mawili tuu kwaoMmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi![]()