Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Sijambo kabisa................ndo huyu nadhani, ila sijawah kuangalia muvu yeyote inayomhusu yeye
batuli-yobnesh-yusuph.jpg
ewaa ndo yy!!huyo yupo kwenye fake smile mama wa3 huyu
 
Batuli nilikua namuona wa maana ila kumbe ndiyo wale wale, ila uwoya kaongea point wafanye kazi zinazowahusu mambo ya siasa wawaachie wakina kinana
Wale wale kina nani? Waliozungusha yani? Yani fa fa faa?? Auuu ?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
UWOYA NASKIA KAITWA HOLLYWOOD KWENDA KUIGIZA FILAMU NA DENZEL WASHINGTON...
 
Mmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi
e9d2c29a937e2226efb02d9292563d4f.jpg
Mi nina mawili tuu kwao
Moja ni kua kwan lazima nae angepost?,ajifunze kunyamaza na watafute style mbadala ya kufikishiana ujumbe.
La pili mie namtaka Uwoya..Warumi nisaidie
[HASHTAG]#Cpendagi[/HASHTAG] ujinga#
 
Back
Top Bottom