Sakata la Christina Shusho limenifunza mambo makuu 4

Umeeleza vyema Mkuu. Watu wengi ni weupe sana kwenye suala la ndoa hasa sheria ya ndoa. Wana stori za vijiweni sana na mazoea mabaya mdio maana hata wengi zinawatesa sana. Hawajui mfumo wa hiyo taasisi.
 
Nawaza tu

How can a man waste his time kuandika dude reeefu hivi kuhusu wakala wa shetani bila kuwa yeye mwenyewe wakala

What the crap about huyu dada

Mpotezeeni atapotea

Madalali wa shetani mko bize kutrend na mtu wenu
 
Kama shusho hatojiweka mikononi mwa Mungu ipasavyo na kutubu Kwa kunyenyekea mbele zake ndani ya Mika hii saba ni hatari sana kwake 2024-2030!!
Kwasababu Kuna hatari kubwa Sana Kwa watumishi wa Mungu waliopo madhabahuni huku wakiwa vugu vugu!

Nusu Mungu nusu Mungu wa Dunia Ili wapate utajiri!
 
Hawezi kubaki na heshima tena.
Nadhani kwa sasa ni masonic na ana Uhuru wa kufanya chochote na Diamond.
Tunamjua Diamond na tabia zake za ufuska,hawezi kuliacha lishangazi.

Inaelekea Christina anaona fahari kuambiwa ana date na Diamond.
Kwake ni sifa,na kwa wanawake walio wengi wanamatamanio na huyu kiumbe wanamuona Christina kama shujaa.
 
Mentor wake ameshamfundisha kwamba, ili kufanikiwa lazima atengeneze sana kiki. Bila Kiki hakuna mafanikio.
Jiandaeni kwa kiki nyingi nyingi zaidi ya hiyo.
 
Mbususu for sale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…