Sakata la Christina Shusho limenifunza mambo makuu 4

NDOA YA KIKRISTO HAIVUNJIKI. HAKUNA SAHIHI HAPO.
 
Wanasema. Bidada anajituma sana kitandani
 
Mzee Shusho ni mchungaji ana kanisa lake na waumini wengi sana. Sasa unataka ajibu nini? Yeye anamwomba Mungu na anapata jibu huko
Unataka ajibu nini kwa huyo mwanadamu?
Mwache aendelee na utumishi wake, namfahamu toka akiwa meneja wa bandari tanga enzi Lowassa akiwa PM. Huyu Shusho alisimamishwa kazi na Lowassa akakaa kimya na serikali wakaona hana kosa wakamrudisha kazini akasema ni kosa kwa mtumishi wa Mungu kutuhumiwa akaomba kuacha kazi akamtumikie Mungu.
Huyo tina toka enzi Membe akiwa foreign minister alianza kumletea taabu mzee kwa kumuona siyo type yake.
Acha mdee Shusho akae kimya.
 
Kwa kiswahili ni BIBILIA sio Biblia. Anyways. Ni kitabu kilichotokana na mapokeo ya kanisa katoliki miaka 500 baada ya Kristu. So what are you trying to say?
Bibilia inaruhusu watu kutalikiana iwapo itatokea scenario ya kuchepuka
 
Presumption ya marriage ni miaka 2 conservative
Huyo PhD kasoma LL.B lini?
 
Sasa mbona maneno matupu bila vifungu?
Mathayo 5:32 BHN
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
 
Ila Christina ana lishape fulani hivi πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹, sema aongeze bidii kwenye kupunguza tumbo
 
Aya ma disco dansa[emoji445][emoji445]
Aya ma disco dansa [emoji445][emoji445]

Sawa nimeachiiika [emoji24],ila naburudiika[emoji445][emoji445]
Sipangiwi na [emoji240] yoyote [emoji24][emoji24][emoji24][emoji445][emoji445]
 
Asante kwa ujumbe mzuri mkuu,ila umeshindwa kutuelimisha tusimame imara namna gani mkuu
 
Labda mzee mashine haina network...
Mashine itakuaje na Network kila kukicha unapata taarifa mara kaliwa na huyu mara yule hata ningekua mimi hamu nae sina tena hata awe mzuri vip si bora ukachukue za kulipia tu utumie Zana kuliko hii ya ndani ikuletee magonjwa ni kwamba Sister kaingia mjini kipori pori lazima ndoa ivunjike...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…