Sakata la Christina Shusho limenifunza mambo makuu 4

Nyie hamuelewi. Ndoa za kulazimishwa Tanzania zipo nyingi sana. Leo hii tukisema tuitishe wanawake wengi sana watajitokeza. Kwa ufupi Christina ni mwanamke shujaa
 
Christina Shusho alipata danga liko USA, alipogindulika ndoa ikavunjika, bahati mbaya baada ya kuachika na rafiki yake akimwibia danga, ndio habari ikaishia hapo
Jazia nyama kidogo Chifu ili mtori uwe mzito mzito.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
NA HAPA NDIPO UHALALI WA #TEAM KATAA NDOA UNAPOKUWA NA NGUVU.
KWA ZAMA HIZI KUNA MAWILI, AMUA KUISHI MWENYEWE(USIHOFU JUU YA POPULATION)
AU INGIA KWENYE NDOA, KAPATE STRESS, KISUKARI, BP, TUKUZIKE HUKU UKIACHA MKE(ATAKAYEPATA MWENZA) NA WATOTO (WALIO KOSA UHAKIKA WA KESHO YAO).
 
Kweli kabisa..nilitaka tuu nione maoni yenu wanaume...
 
Christina kachagua umalaya... Uzuri mume wake aliamua kumuacha tangu zamani... Christina umalaya umemshinda akakimbilia kwa wachungaj wamuombee msamaha kwa mume, lakini mumewe akaapa hawez kurudiana na mwanamke malaya... Baada ya Christina kuona hakuna matumaini ya kupata msamaha sasa ana haha kutafuta huruma kwa watu...
 
NDOA YA KIKRISTO HAIVUNJIKI. HAKUNA SAHIHI HAPO.
Wengi wanatafiri vibaya maneno aliyoyasema Yesu, ukweli uko hivi.

Mwanamke akiposwa, tayari anadhaniwa kuwa ni mke wa mtu hata kama bado binti hajaagwa kwao. Yusufu aliambiwa asimuache Mariam mkewe, wakati Yusufu anaambiwa hayo Biblia inasema Yusufu alikuwa ameshamposa Mariam tu.

Wayahudi walikuwa na desturi ya kwamba, ukishamposa mwanamke, mwanamke anapaswa asiguswe (kutokufanya mapenzi) kwa miezi 9 ili kubaini kama ana mimba au laah.

Sasa ndani ya hii miezi 9, endapo mwanamke akatembea na mwanaume yoyote au pengine ana mimba changa tafsiri yake ni kwamba mwanamke alifanya uasherati.

Uasherati ni kitendo cha mtu kufanya ngono nje ya ndoa, Uzinzi ni mtu kufanya tendo la ngono kwa asiye mkewe au mumewe.

Sasa Yesu alisema, mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa habari ya uasherati, hapo ina maana kwamba, ni sahihi kumuacha mkeo endapo kama umemposa kisha akafanya uashareti ila kama tayari umemposa na wewe ukaenda kulala nae (ndoa kamili inatimizwa hapo ktk tendo) moja kwa moja hiyo ni ndoa kamili maana mmeungana tayari hadi kimwili badala ya kuungana kinafsi na kiroho baada ya familia mbili kupokeana, HAIWEZEKANI TENA KUACHANA.

Sasa hapo wale mitume 12 wakamwambia Yesu kama ni hivyo haipaswi mtu kuoa.

Kwahiyo Mkuu watu wanapaswa kuelewa kwamba NDOA YA KIKRISTO HAIVUNJIKI KWA NAMNA YEYOTE ILE ENDAPO KAMA WATU HAO WAWILI MWANAUME ALITOA MAHALI, NA AKAENDA KULALA NA HUYO MWANAMKE KTK TENDO.
 
Nyie hamuelewi. Ndoa za kulazimishwa Tanzania zipo nyingi sana. Leo hii tukisema tuitishe wanawake wengi sana watajitokeza. Kwa ufupi Christina ni mwanamke shujaa
Sikuhizi ndoa watu wanazitafuta Kwa tochi hawazipati
 
Mkuu haya yote uliyotaja hakuna jibu sahihi hata moja. Tina amemuacha mzee Shusho ili apate mwanya wa kudinywa vizuri na Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…