Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hii hatua tumechelewa sana tu, Nitajie shirika moja tu tumeendesha kwa ufanisi hakuna shirika jepesi kama TTCL maana wana upendeleo wote kulishika soko lakini utasema wanaishi karne ya 18. wacha walete private na serikali iwe na share kubwa ni kulipa operating cost tuNimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
View attachment 2153881
Siku hizi bandari zote kubwa duniani zinaendeshwa kibiashara. Kuna makampuni mahsusi yaliobobea kazi hizo.Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
View attachment 2153881
Sawa kabisa na hauna headache ya utawala wa bandari. Nitachukua huo mkataba haraka sana. Tena na mishahara na mafao ya wafanyakazi itaboreshwa na wenye kujuwa walifanyalo. Wezi wote wa hapo watatafuta pa kutokea wenyewe.Wewe ukifanya mwenyewe unakusanya Bil 90 lets say kwa mwezi hapo Bandari - Mwekezaji anakuja anakwambia atakusanya Bil 400 afu wewe atakupatia Bil 300. Mkataba wa miaka 10 with uplift ya 5% kila mwaka , je utakataa ama utakubali ?
Sasa hapo umejichanganya mwenyewe, TTCL ilibinafsishwa kwa MSI waholanzi hawa. Lakini mwisho wa siku TTCL ndio ikafa kabisa, Bora hata walipoacha hao MSI Sasa hivi kidogo Ina uhai.Tena hii hatua tumechelewa sana tu, Nitajie shirika moja tu tumeendesha kwa ufanisi hakuna shirika jepesi kama TTCL maana wana upendeleo wote kulishika soko lakini utasema wanaishi karne ya 18. wacha walete private na serikali iwe na share kubwa ni kulipa operating cost tu
Ongea ueleweke, wacha kuongea kwa mafumbo kwenye mitandao ya kijamii, usifikiri kila mtu anaeingia na kusoma JF anaweza kusoma mawazo yako.Hapa tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Mkuu, hela ya hao wezi ndiyo iliyokuwa inasambaa mjini na kufanya uchumi kusogea, huoni kwamba ukakuwa umezima chanzo cha ku bust uchumi wa mtaani.?Sawa kabisa na hauna headache ya utawala wa bandari. Nitachukua huo mkataba haraka sana. Tena na mishahara na mafao ya wafanyakazi itaboreshwa na wenye kujuwa walifanyalo. Wezi wote wa hapo watatafuta pa kutokea wenyewe.
Mkuu Hilo kwa Tanzania hii limewahi kutokea shirika gani?Wewe ukifanya mwenyewe unakusanya Bil 90 lets say kwa mwezi hapo Bandari - Mwekezaji anakuja anakwambia atakusanya Bil 400 afu wewe atakupatia Bil 300. Mkataba wa miaka 10 with uplift ya 5% kila mwaka , je utakataa ama utakubali ?
Hayo yalikuwa madili ya wachahe fulani. Mbona Airtel waliiendesha vizuri walipoinunua?Sasa hapo umejichanganya mwenyewe, TTCL ilibinafsishwa kwa MSI waholanzi hawa. Lakini mwisho wa siku TTCL ndio ikafa kabisa, Bora hata walipoacha hao MSI Sasa hivi kidogo Ina uhai.
MSI waliifilisi TTCL na kuiacha na madeni makubwa.
Tukiachana na hao TTCL ambao umewatolea mfano bila.kujua waliowahi kuendeshwa na private.
Kuna Hawa ATCL, Reli na Tanesco, nadhani unajua kilichowakuta nao kwa kufanya hivyo
Sikutegemea ungesema tofauti na hivi.Siku hizi bandari zote kubwa duniani zinaendeshwa kibiashara. Kuna makampuni mahsusi yaliobobea kazi hizo.
Kuingia ubia ndio njia sahihi kwa dunia ya leo.
Nnamini bandari ya Dar ilivyokaa vizuri geographically, na nchi landlocked zinavyotuzunguka, bandai ya Dar pekee inaweza kuendesha budjet ya serikali kwa Tanzania nzima.
Nchi kama Singapore na Dubai hazina zinachojivunia zaidi ya badari zao nandio vyanzo vyao vyote vya mapato vinatokea hapo. Kwanini sisi tusindwe? Wizi mtupu banadarini Dar. Wizi wa Bandarini ni kansa iliyopo kila idara (each and every department).
Kama yalivyokufa mashirika yote umma na badari haipo salama tukiedelea kuiedesha wenyewe. Apewe tajiri mmoja aiendeshe tujionee mabadiliko.
Wala haina haja ya kuwa rocket science kuelewa kuwa bandari kwa Tanzania ina faida kubwa sana ikiendeshwa ipasavyo. Mfano mzuri ni Bagamoyo, nchi na wafanya biashara matajiri wa nje wapo tayari kuingiza na kuwekeza pesa kibao kujenga banadari na mji mpya kabisa wa kisasa, ili waingie ubia wakuiendesha bandari tu. Watafanya hivyo kama hawajaiona faida kwenye upembuzi wao?
Mama hata polisi ingia ubia iendeshwe professionally, maana imeshindwa kabisa kulinda mali za Watanzania na badala yake wanaua raia kwa thamani ndogo tu.