Hayo mbona hayakufanyika Tanesco, TRL na mwenye ATCL?Sawa kabisa na hauna headache ya utawala wa bandari. Nitachukua huo mkataba haraka sana. Tena na mishahara na mafao ya wafanyakazi itaboreshwa na wenye kujuwa walifanyalo. Wezi wote wa hapo watatafuta pa kutokea wenyewe.
Kwahiyo hili ni dili la wengi???Hayo yalikuwa madili ya wachahe fulani. Mbona Airtel waliiendesha vizuri walipoinunua?
Uchumi hauendeshwi kwa pesa za wizi, ingekua hivyo nchi za Africa zingekua na uchumi imara kuliko Europe au chinaMkuu, hela ya hao wezi ndiyo iliyokuwa inasambaa mjini na kufanya uchumi kusogea, huoni kwamba ukakuwa umezima chanzo cha ku bust uchumi wa mtaani.?
Ndio nakuuliza kwa nini unasema Airtel na sio ttcl?Hayo yalikuwa madili ya wachahe fulani. Mbona Airtel waliiendesha vizuri walipoinunua?
Tafuta kampuni zenye uwezo wa kufanya biashara tuache kupeana fake companies ziko kampuni wako serious utaratibu uwe wa vigezo hakuna kampuni ikaja kufanya hasara ujuwe mikataba ilikuwa fake. Unaleta kampuni ina record technical finance wako vizuri ili waboreshe huduma za kisasa hakuna kampuni ikaendeshhwa kiserikali ikafanikiwa hakuna tumeuwa mamia ya kampuni na hii SGR wakijifanya kuwapa hawa Railway basi wape miaka miwili tu kwisha, lete watu waendeshe hii ni business ikiwa takataka tu kuzoa hatuwezi mpaka waje kampuni binafsi ndio tutaweza kuendesha kampuni. TTCL ni mfu toka imezaliwa sababu ya ruzuku wanapiga hasara hawajali mishahara si inatoka serikali kuu shida iko wapi.Sasa hapo umejichanganya mwenyewe, TTCL ilibinafsishwa kwa MSI waholanzi hawa. Lakini mwisho wa siku TTCL ndio ikafa kabisa, Bora hata walipoacha hao MSI Sasa hivi kidogo Ina uhai.
MSI waliifilisi TTCL na kuiacha na madeni makubwa.
Tukiachana na hao TTCL ambao umewatolea mfano bila.kujua waliowahi kuendeshwa na private.
Kuna Hawa ATCL, Reli na Tanesco, nadhani unajua kilichowakuta nao kwa kufanya hivyo
Hapo kuna kiongozi mstaafu anaitaka bandari. Tunapiga kweupeNimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
View attachment 2153881
Kwanza airtel iliibiwa MaGUFULI amekuja ndio serikali ikapata hisa.Ndio nakuuliza kwa nini unasema Airtel na sio ttcl?
Unasema madili ya wachache, hao wachache wenye madili sasa hivi hawapo? Si juzi tu hapo bandari mmesaini mikataba ya wizi
Hata kama atoke nje ya dunia lazima ataferi hii nchi siasa maji taka..na za kifisadi ndio kipaumbele cha kuongoza nchi...huyo ceo atapigwa matukio sana.Katika hili sikubabliani naye kama ni kweli kwasababu huko nyuma, approach hii ilifeli kwa Tanesco na Air Tanzania na Mashirika mengine. Kitu ambacho ningekubaliana naye ni kupata CEO yeyote na kutoka popote duniani asimamie Bandari kama wamatumbi tumeshindwa. Si lazima awe mmatumbi akaishia kuweka wapwa zake na kuharibu kazi.
Sasa hivi wapo wengi hapo bandarini, wezi watupu kila idara, siyo wachache. Ndiyo maana naunga mkono atafutwe mbia bandari iendeshwe kibiashara na si kihasara. Au ifaywe ni banadari ndogo tu ya ndani ya nchi utakapokamilika mji kamili wa bandari, Bagamoyo.Ndio nakuuliza kwa nini unasema Airtel na sio ttcl?
Unasema madili ya wachache, hao wachache wenye madili sasa hivi hawapo? Si juzi tu hapo bandari mmesaini mikataba ya wizi
Kwa nini? Ni kweli sisi tumekubali hatuna kaabisa akili za kuendesha shirika Kama Hilo?
Sasa hivi wapo wengi hapo bandarini, wezi watupu kila idara, siyo wachache. Ndiyo maana naunga mkono atafutwe mbia bandari iendeshwe kibiashara na si kihasara. Au ifaywe ni banadari ndogo tu ya ndani ya nchi utakapokamilika mji kamili wa bandari, Bagamoyo.
Eehh kweli kabisa, tukapeleka na Airport ya Kimataifa Chato, sasa wanatua mbayuwayu tu. Tukawaibia na majumba na magari yao matajiri. Tukawatolea bastola kuwatisha mawaziri hadharani waliposema ukweli. Tukafumua utawala wa bandari na kuweka "The" gang ndiyo waiendeshe. Usiyasahau yote hayo.Kwahiyo hili ni dili la wengi???
Yetu macho, watoto wenu watapiga mateke makaburi yenu.
Mnakula vyote kama fisi hamridhiki mmemaliza ngorongoro mshahamia huko.
Hata watoto wenu watalipa hii gharama.
Karma is really.
Hufahamu yaliyofanyika huko, labda ulikuwa mdogo sana.Hayo mbona hayakufanyika Tanesco, TRL na mwenye ATCL?
Everything hapa kijiweni ni "hearsay". Unafikiri mama atalala na kuota tu asubuhi atafute mbia wa Bandari? Ikulu ni kubwa zaidi ya tuijuavyo.siku nyingine usiseme kuna wizi bila ushahidi hizo ni hear say
Wazo la Msogaz hili huendaHapo hatutamkosa dingi la madingi akiingia kwa jina la mbia pale jiko kuu la nchi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app