Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

Aiseee! Kuna siku tutatafuta mbia wa kuiendesha serikali maana tumeshashindwa kuiendesha bandari.

Ili bandari ifanye vizuri zaidi inatupasa kuachana na siasa kwenye uendeshaji wake Menejimenti ya Bandari iwekewe malengo na wasiingiliwe na serikali.

Kuwe na mkataba baina ya serikali na menejimentj ya TPA, iwapo watashindwa kufikia malengo yaliyowekwa kwa kila robo mwaka basi kibarua kinaota nyasi na iwapo kuna jinai sheria ichukue mkondo wake.

Nadhani tuanzie hapo.

Vv
Na uongozi nafasi zake zitamgazwe nje na ndani ya nchi. Sifa moja ya Port Manager au mkuregenzi awe alishazisaidia kiuchumi ama kukuwa bandari zingine kubwa huko duniani.
 
Kama yeye Rais anamteua Polisi mstaafu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Bandari.

Hivi tutarajie miujiza gani hapo?

Au ndio mkakati wa kuididimiza Bandari yetu zaidi?

Ikumbukwe kwamba ukiishaingia mikataba leo haitakuwa rahisi kuja kuwaondoa huko mbeleni.

Hata iwapo wanaendelea na madudu yao.
Polisi mwenyewe kaishia kidato cha nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.

Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?

Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.

Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.

--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.

Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.

Shame mimi ndio maana si angalia tena taarifa za habari maana ni maumivu mwanzo mwisho….

Trump alisema waafrika watawalie tena and he was right….hii nchi wairudishe kwa muingereza mpaka atakapo patikana Nyerere mwingine wakutukomboa…
 
Airport ya Zanzibar tayari, sasa wanahamia baraaaa humu! Mtapiga kelele lakn hamtabadilisha maamuzi yao yoyote
#mycountrypeople
 
Huenda walijifunza kutokana na makosa ya kipindi hicho.
[emoji23][emoji23] aisee, kwa hii hii iliyopo hapa? Juzi tu si hao wamesaini mkataba bila kujua ulikua na rushwa ndani yake
 
Miradi yote wangepewa watu binafsi wasimamie hata waarabu wamefanya hivyo wakaendelea
 
SIO BANK tu taasisi nyingi ambazo zinaendeshwa binafsi kwa asilimia kubwa hufanya vizuri, serikali ikashakua tu na hisa nyingi tatizo huanzia hapo
Ndio tujiulize kwa nini mashirika ya kiserikali hayafanyi vizuri?
Sababu mswahili hana uwezo wa kuongoza jambo likafaulu
 
Airport ya Zanzibar tayari, sasa wanahamia baraaaa humu! Mtapiga kelele lakn hamtabadilisha maamuzi yao yoyote
#mycountrypeople
Airport zenj inaendeshwa na mbia?
 
Miradi yote wangepewa watu binafsi wasimamie hata waarabu wamefanya hivyo wakaendelea
Tumefanya hivyo kipindi Cha mwinyi, tukashindwa, tukafanya hivyo kipindi Cha mkapa tukashindwa, tukafanya kipindi Cha JK tukashindwa.
Kipi kimebadilika sasa tusishindwe? Juzi tu hapa raisi na jopo zima waliingizwa kwenye mkataba wa kinyonyaji hapo bandari na kampuni hewa
 
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.

Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?

Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.

Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.

--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.

Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.

DAAH KWELI HUYU MAMA NI MPIGA DILI ANATAKA KUIUZA BANDARI NAMKUMBUKA SANA MZEE BABA.
 
Katika hili sikubabliani naye kama ni kweli kwasababu huko nyuma, approach hii ilifeli kwa Tanesco na Air Tanzania na Mashirika mengine. Kitu ambacho ningekubaliana naye ni kupata CEO yeyote na kutoka popote duniani asimamie Bandari kama wamatumbi tumeshindwa. Si lazima awe mmatumbi akaishia kuweka wapwa zake na kuharibu kazi.
Nakubaliana na wewe
 
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.

Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?

Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.

Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.

--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.

Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.

Hajasema tumpate mbia wa kuendesha serikali yetu ipate ufanisi zaidi?

Inasikitisha sana kuona kwamba hadi sasa, miaka 60 baada ya uhuru hakuna jambo hata moja tunaloweza kuliendesha kwa ufanisi sisi wenyewe!
 
Kama yeye Rais anamteua Polisi mstaafu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Bandari.

Hivi tutarajie miujiza gani hapo?

Au ndio mkakati wa kuididimiza Bandari yetu zaidi?

Ikumbukwe kwamba ukiishaingia mikataba leo haitakuwa rahisi kuja kuwaondoa huko mbeleni.

Hata iwapo wanaendelea na madudu yao.
Mangu mwenye form iv iliyochangamka
 
DAAH KWELI HUYU MAMA NI MPIGA DILI ANATAKA KUIUZA BANDARI NAMKUMBUKA SANA MZEE BABA.
Huyu mama alijipambanua toka mwanzo kuwa yeye ni mtu wa madili. Sasa subiri, huu ni mwaka wa kwanza tu. Kazi kubwa aliyofanya hadi sasa ni kuteua watu wa ma'deal' sehemu mbalimbali.

Ma-'deal' ya mbolea ndiyo hayo sasa wakulima wameanza kuyashuhudia.

Bila shaka akina Makamba wakati huu kazi kubwa wanayoifanya ni kutafuta 'deal' za umeme na mambo mengine, ambayo yataanza kusikika ndani ya mwaka wa pili wa "Kazi Iendelee"na kwenda mbele.
 
Mbia wa kuiendesha serikali yupo angalia teuzi na team zilizopo juu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana, hawa hatuwataki. Tunataka "mbia" wa kwelikweli anayetoka Arabuni, China au Beberu kabisa. Hawa wababaishaji wenzetu ni wapiga dili tu!
Serikali inatakiwa itafute mbia wa kwelikweli kuendesha shughuli zake. Hawa waliopo wote wameshindwa.
 
Back
Top Bottom