FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwai unafikiri nchi zinaendeshwa na watu kama wewe ambao hata kodi hawalipi?Unaonaje wakabidhi nchi hao matajiri ili nchi iendeshwe na wenye hela wengine tubaki kuwa wafanyakazi wa wenye pesa na urais tumkabidhi tajiri?
Tumia akili japo kiduchu, mfumo wa Tanzania ni nchi kuendeshwa na wenye pesa. Au huelewi maana ya kulipa kodi?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?