Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa, kumbe inawezekana hata Bandarini.Watanzania wengi sana wana akili za kitumwa, na mtumwa hata umfanye nini utumwa upo ndani ya damu yake.
Kumiliki kila kitu cha nchi na serikali ndio ikiendeshe ni enzi za utumwa na Ufalme.
Duniani sasa hivi serikali zinabaki kuwa "facilitators", hata ajira zinabaki kuwa kenye private sectors tu kwa wingi. Serikali inabaki na wafanya kazi wachache sana ambao kazi zao zinabaki kuwa acilitators tu na si utendaji wa kina. Feda zinatakiwa mzunguko urudi kwa raia wapate kujiendeleza.
Mama Samia, achana na majuha wenye fikra za kitumwa wachache ambao wanataka kila biashara kubwa iendeshwe na serikali, hao ni wezi na ama wana akilli za kitumwa tu. Bandari zote kubwa duniani sasa hivi haziendeshwi na serikali zao. Sifahamu Tanzania kwanini tumeshelewa sana kwenye hilo?
Mama Samia nakuunga mkono 100% kwenye hili la bandari kupewa mbia aiendeshe.
Wewe hujawahi kumpinga Rais wa sasaWatanzania wengi sana wana akili za kitumwa, na mtumwa hata umfanye nini utumwa upo ndani ya damu yake.
Kumiliki kila kitu cha nchi na serikali ndio ikiendeshe ni enzi za utumwa na Ufalme.
Duniani sasa hivi serikali zinabaki kuwa "facilitators", hata ajira zinabaki kuwa kenye private sectors tu kwa wingi. Serikali inabaki na wafanya kazi wachache sana ambao kazi zao zinabaki kuwa acilitators tu na si utendaji wa kina. Feda zinatakiwa mzunguko urudi kwa raia wapate kujiendeleza.
Mama Samia, achana na majuha wenye fikra za kitumwa wachache ambao wanataka kila biashara kubwa iendeshwe na serikali, hao ni wezi na ama wana akilli za kitumwa tu. Bandari zote kubwa duniani sasa hivi haziendeshwi na serikali zao. Sifahamu Tanzania kwanini tumeshelewa sana kwenye hilo?
Mama Samia nakuunga mkono 100% kwenye hili la bandari kupewa mbia aiendeshe.
Wa Oman
Kwa mustakabali huu kwanini bandari yote wasipewe ticts?Mkuu , upande wa TICTS wanafanya kazi very professional sio kama huku kwa wazaramo TPA. Swala la mapato ndio wanatakiwa waangalie kwa ukaribu zaidi mifumo ya TICTS imekaa vizuri kuliko TPA . Wabadilishe tu mifumo yao ya malipo inaleta lope hole za watu kupiga pesa. Ndio maana wanapaita shamba la bibi upande wa TPA ila upande wa TICTS mzee hauwezi kufanya magumashi ukafanikiwa .
Mbona nmb na nbc zilikuwa zinahemea mashine mpaka walipopewa wawekezaji ndio zikaanza kufanya vizuri tena?Ewe mwanamke wa Nchi Hiyo bandari hapo ndio roho ya Tanzania unataka kuitoa au kuigawa?
Tulisha-ibinafsha bandari ikawa vurugu tupu na hapakuwa na tija yeyote kwenye uninafsishaji ule.Sasa tunarudi tena huko huko,jamani nani katuloga?Kitu gani kinatufanya tuamini kwamba things will be different this time around.Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa?
Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta.
Hii haiwezi kuja kuiua hii bandari kwa maana tunajuana vizuri sisi hasa linapokuja suala la maslahi.
--
Rais Samia Suluhu amesema maboresho yanafanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na kupata mbia wa kuiendesha, kubadili uongozi na miundombinu ili kuongeza ufanisi.
Amesema robo tatu ya bajeti ya nchi inaweza kutegemea bandari endapo zitafanya kazi inavyotakiwa.
TICTS si wale wale matapeli waliotuvuruga wakati ule?Kwa mustakabali huu kwanini bandari yote wasipewe ticts?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nadhani wakitangaza zabuni TICTS wasipofanyiwa figisu watachukua . Utendaji wao ni wa kutukuka kabisa. Ingawa mapungufu hayakosekani ila sio kama upande wa TPA.Kwa mustakabali huu kwanini bandari yote wasipewe ticts?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hakuna kisichoendeshwa kwa uwekezaji.Hatari sana, hadi Bandari anapewa muwekezaji
Hii nchi ovyo sanaTics mbona wapo lakini hakuna walichoimarisha
Wee kweli keng.ee yaaani unaunga mkono huu ujingaHakuna kisichoedeshwa kwa uwekesaji.
Badala ya nchi kutumia kuwekeza kwenye bandari ambayo kila kinachowekezwa hakitunzwi, ni bora vipi? Waendelee kuwekeza kwa kuwapa wasiozalisha faida au uwawpe wawekezaji wawekeze mitaji yao, waendeshe kivyao, watu wako wapate ajira na wewe hazina unaletewa faida tu?
Hata juha atakuba kuwa ni bora apewe mwekezaji mbia.
Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?uwekesaji
Wewe ni punguani tu, una kipi ulichowekeza toka uzaliwe? Labda ujuba tu.Wee kweli keng.ee yaaani unaunga mkono huu ujinga
Acha tuendelee na kili za kiutopolo topolo kama hizi, kizazi cha watumwa ni watumwa tu, akili za kitumwa profile failure haiwezi kuwa smart never tena ndio iwe elimu unga ungamwana tuendeelee kuvaa leso puani huku tukiuliza na kutafuta mtoa ushuzi. Aibu ya karne. Ugalasa nao unauboraNimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.