Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

Kwa hiyo kuandika mtandaoni kukemea ushoga sio njia ya kupambana dhidi ya ushoga mkuu? Je, ingekuwa, kwa mfano, wewe unapinga ushoga ungetumia njia gani rahisi kufanikisha mapambano?

Nenda kwenye vyombo vya sheria vinavyo husika na hilo jambo la Ushoga, halafu wasilisha madai yako, ndipo uone hatua stahiki zikichukuliwa, hii ya kubwata mtandaoni ni kujichosha na haibadili chochoteee.
😂😂😂😂
 
Km ushahidi was madai yake anao si aende kwenye vyombo vya sheria? Huko atapata haki ya hicho anacho kipigania, ila kelele zake za mitandaoni ni stress na depression zinamsumbua.
Mkuu poliCCM unawajua vizuri? Hakawii kwenda polisi akabambikwa kesi ya uhaini au ugaidi.
 
Nenda kwenye vyombo vya sheria vinavyo husika na hilo jambo la Ushoga, halafu wasilisha madai yako, ndipo uone hatua stahiki zikichukuliwa, hii ya kubwata mtandaoni ni kujichosha na haibadili chochoteee.
😂😂😂😂
Tatizo la ushoga haliwezi kutatuliwa na vyombo vya kishoga mkuu. Uliona wapi kesi ya ngedere inaamuliwa na tumbiri?
 
Mkuu kwanza naomba kujua msimamo wako maana naona unawapinga sana wapinga ushoga. Je, wewe unaupinga ushoga au unaushabikia?
 
Mkuu poliCCM unawajua vizuri? Hakawii kwenda polisi akabambikwa kesi ya uhaini au ugaidi.

Ila huko Kubwata mitandaoni ndio inabadilisha nini? Yeye km anajua hicho anachokipigania kipo na ushahidi anao aende kwenye vyombo husika, atapata suluhisho lake.
Vinginevyo ni anajichosha tu.
 
Ila huko Kubwata mitandaoni ndio inabadilisha nini? Yeye km anajua hicho anachokipigania kipo na ushahidi anao aende kwenye vyombo husika, atapata suluhisho lake.
Vinginevyo ni anajichosha tu.
Sasa mpinga ushoga anaendaje kushtaki kwenye chombo cha kishoga mkuu? Maana kama serikali inaukubali ushoga, vyombo vyake vya maamuzi haviwezi kwenda kinyume na msimamo wa serikali.
 
Sasa huku kubwata mitandaoni ndio jambo hilo lina amuriwa? Au suluhishi ndio hilo??
Kazii ipo basi.
Ni bora kutoa elimu kwa umma kama anavyofanya Mambaz kuliko kupeleka kesi ya mihogo kwa nguruwe. Utatoka kapa mkuu.
 
Dkt. Gwajima D jibu hii tuhuma
 
Sasa mpinga ushoga anaendaje kushtaki kwenye chombo cha kishoga mkuu? Maana kama serikali inaukubali ushoga, vyombo vyake vya maamuzi haviwezi kwenda kinyume na msimamo wa serikali.

Ndio maana ameitwa huko Polisi ili awasilishe madai yake ya hilo ushoga,
Kuliko kubwata mitandaoni na kuilaumu serikali.
 
Ndio maana ameitwa huko Polisi ili awasilishe madai yake ya hilo ushoga,
Kuliko kubwata mitandaoni na kuilaumu serikali.
Mkuu naomba uelewe kwamba Mambaz huwa habwati bali anatoa elimu kwa umma. Unapaswa kuelewa kuwa mbinu mojawapo ya kupambana na ushoga ni kutoa public education. Usikariri njia moja tu mkuu.
 
Kwani Dr Gwajima nani kakwambia kwamba anaukubali ushoga mkuu?
Hujanielewa. Nilimananisha hii comment
Ndipo nikamuita Dkt. Gwajima D aje akajibu hiyo tuhuma
 
Nafikiri ameitwa na Serikali akathibitiahe ni kwa namna gani Serikali inaunga mkono ushoga.
 
Ni kweli wanaunga. Mikataba ya misaada na mikopo waliyosaini sirini inawataka kuukubali na kuulinda ushoga.

Jiulize ile vita ya yule mama kisebusebu iliishia wapi? Kulikuwa ni kujikosha tu kwa wananchi waonekane nao wamo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…