Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata vielelezo vya EPA mliviita vipeperushi ila baadaye mkaumbuka - CCM ni hatari sana!!
Na wewe Tatizo lako ni kutaka kupewa tu hizo data.tatizo lako mkuu unaga ushaidi huwa unakurupuka tu kama mdudu vile
Nadhani unajuta kuandika hii sentence kwa hali jinsi ilivyo sasaWerema ni kichwa balaa
Nimeipenda sana style ya werema. Amempa kafulila za uso
Hawa watu huwa wanashangaza sana!! Sasa hivi akili imewarejea, jana ndo wamegundua tumbili lilikuwa tusi baada ya mkuu kulitamka. Ipo siku na kwa Lisu itakuwa hivyo hivyo. Wacha waendelee kujikoroga tu.Kuna watu wamekuwa wakibisha kuwa spika wa bunge hapendelei chama tawala, mara zote wanadai wabunge wa upinzani ndio hawana nidhamu, je aliyemwita Kafulila tumbili alichukuliwa hatua gani? je kama wabunge wa ccm wananidhamu mbona walishangilia na kupiga meza wakati Kafulila anatukanwa? Je mbunge wa upinzani angemwita mbunge wa ccm tumbili kamati ya maadili ingenyamaza?
Leo Rais Magufuli anapomsifia Kafulila kuwa ni mzalendo wa kweli alitetea raslimali za nchi je chama chake kilimuunga mkono Kafulila au uvccm walimtukana na kumkashfu, leo utasikia uvccm wakijitokeza hadharani kumuunga mkono Rais kwa kumsifia Kafulila.
Kama Rais amediriki kusema kuwa kafulila alikuwa anapelekwa mahakamani kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa, anaweza pia kukubaliana na mimi kuwa Lissu anapelekwa mahakamani kwa ajili ya maslahi ya taifa?
CCM mnaumbuka sasa, mliyemsifia anawavua ngua hadharani
Kweli?Werema alishalipwa mgao wa 2bilioni kwenye wizi wa 200bilioni.