Sakata la Escrow: AG Werema amvaa Kafulila, Amwita tumbili asiyeweza amua mambo ya msituni

Sakata la Escrow: AG Werema amvaa Kafulila, Amwita tumbili asiyeweza amua mambo ya msituni

Kuna kila sababu ya kumpima akili Werema katika hospitali ya Mirembe ili ikigundulika ni mgonjwa wa akili atibiwe aweze kuendelea na kazi yake iliyotukuka kwa kufuata maadili yanayokubalika! Na ikigundulika ana akili timamu afukuzwe kazi mara moja kulinda heshima ya ofisi ya AG!

Ni mzima; ashalewa madaraka. Maslow hierarchy of need ashaimalza amekiza kutukana tu; kama si malezi mabovu
 
Hahaaa. Mwizi alikuwa mbogo alipopewa jina lake stahiki. Naye ikabidi ambatize mwenzie Tumbiri. Sasa sinema imefika patam zaidi, nani starring kati ya tumbiri na jizi...
 
Yea, ninachoshangaa ni ujasiri wa mwizi kisa eti kwa kuwa anaambiwa na tumbiri basi anajifanya hajui chochote
 
Jamani Kiswahili sasa kinanajisiwa...sijui ni kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Mtu akiandika Kiingereza cha kuokoteza niko tayari kumsamehe lakini Kiswahili tena lugha ya Taifa! Hakika inasikitisha...hivi tumbiri ndio mdudu gani!
 
Hahaaaaaa...haaahaaaaa..nimemwona AG bungeni leo kwanza kakondaaa kabisaaa..pili kawa mpoleeeeeeeeeeeee kama si yeye...!!!! kama kashikwa ugoni manina wallaaah....Chezea vijana kama akina Kafulila au #Mr .President wa dot.com, utakufa umesimama...manyoko zake, nguo zote zimelegea, pigaaaa huyo mwiziiiiii...mwiziiiiii....choma motoooo!!!!
 
Werema anajifa et ametoka ukuriani? Sasa ndio utajua ukawa ni kina nani?
 
Msishangilie jamani. Namkumbuka Mtemi Mkwawa na uganga wake wa ajabu. Kugeuza risasi kuwa maji. Matokeo yake ni maji maji, mwishowe kunyongwa.
Tumbili, anajiamini saana tu, lakini, kaushauri kangu. Nimesikia fununu kuwa baba mwenye kaya anarudi na akija kabla hajaingia kule Magogoni, nasikia atii stop ya kwanza ni pale Mjengoni kwa ma/bi kinda. Unajua atasema nini???
Baba kaya hatabiriki. Kama orodha za wauza sembe/ngano anazo, anwani za wamaliza tusker anazo mpaka nyumba wanazo kaa. Hakuna chochote walicho fanyiwa. NASEMA; We Tumbili, huu ni upepo tu unavuma, nao haukai, utapita tu na shamba la bibi litatulia. Wavunaji wataendelea. Hakuna mtu aliyejua kuwa kuna pahala zimewekwa/zimelundikwa tena pesa nyingi namna hiyo baada ya EPA. Leo, sijui zingine zi wapi, zikilapuliwa, kelele za Tumbili tutazisahau na kukimbilia huko.
 
Wazee wa kauli mbovu mbona ni wengi tu.

Tanzania ni raha sana kiongozi mkubwa serekalini anamtukana mtanzania mwenzake live bila chenga na anaacha anaendelea kutanua, mareka ukwimwita binaadamu mwenzako tumbili utakoma bila kujali nyazifa au uwezo gani wa fedha
 
Attachments

  • 1416238713421.jpg
    1416238713421.jpg
    7.9 KB · Views: 294
Msishangilie jamani. Namkumbuka Mtemi Mkwawa na uganga wake wa ajabu. Kugeuza risasi kuwa maji. Matokeo yake ni maji maji, mwishowe kunyongwa.
Tumbili, anajiamini saana tu, lakini, kaushauri kangu. Nimesikia fununu kuwa baba mwenye kaya anarudi na akija kabla hajaingia kule Magogoni, nasikia atii stop ya kwanza ni pale Mjengoni kwa ma/bi kinda. Unajua atasema nini???
Baba kaya hatabiriki. Kama orodha za wauza sembe/ngano anazo, anwani za wamaliza tusker anazo mpaka nyumba wanazo kaa. Hakuna chochote walicho fanyiwa. NASEMA; We Tumbili, huu ni upepo tu unavuma, nao haukai, utapita tu na shamba la bibi litatulia. Wavunaji wataendelea. Hakuna mtu aliyejua kuwa kuna pahala zimewekwa/zimelundikwa tena pesa nyingi namna hiyo baada ya EPA. Leo, sijui zingine zi wapi, zikilapuliwa, kelele za Tumbili tutazisahau na kukimbilia huko.

Sasa na wafadhili wamenuna!
Kwa hiyo tutakula nyasi kama mnyama farasi? ?
 
Back
Top Bottom