Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Werema alishalipwa mgao wa 2bilioni kwenye wizi wa 200bilioni.
Hatuwezi moja kwa moja kuita kitendo cha Werema ni kupandwa na hasira. Ni ujinga tu na kukosa busara. Yeye amekuwa akitukana wabunge, hasa wa upinzani kila siku, wapo kimyaa, wanamvumilia. Jana alianza yeye kumtukana Kafulila kwamba ni tumbili, ujinga, ujinga mtupu. Lakini kuna jambo, hawa wenzetu wa mkoa wa Mara balaa. Tujikumbushe....
WASSIRA: Mbali na kuwa na matusi huyu alibatizwa jina la Tyson mchana kweupe katika ofisi za MAELEZO, Dar alipomuwinda kama swala na hatimaye kumpiga Mhariri wa gazeti la DIRA ati kwa kuandika Wassira ni swahiba wa Mrema. Neno "swahiba" kwa Wassira akasema ni tusi na kuanza kumsaka na hatimaye kumpiga! MUSOMA hiyo!
MUHONGO: Huyu anaamini watu waliosoma hapa nchini ni wale waliosomea elimu ya miamba, mawe. Hutukana karibu kila anaposimama bungeni. MUSOMA hiyo!
WEREMA: Huyu ndo kiboko maana yeye huwa hata anafikia kujisifu "sisi watu wa Musoma". Matusi mtindo mmoja na kwa kutokemewa huko nyuma jana alifikia hatua ya kutaka kupigana bungeni. MUSOMA hiyo!
Jamii gani hii ya watu wa kufikia cheo cha Waziri ama Mwanasheria Mkuu ndimi zao zinatema matusi na kutaka kupigana? Wanadai ati huko kwao Musoma kupigana ama kutukana ni SIFA. SIFA???????? Kubwa jinga!

Ni kweli kuteleza kwa Werema si kigezo cha Kuwahuku wana Mara wote tambua kila Mkoa,wilaya,kata,vijiji Tz kuna Watu wakorofi,wabaya nk , hv Yule Mkuu wa wilaya aliyechapa walimu bukoba anatoka Mara?Mh Sugu alianzisha varangati bungeni anatoka Mara, Lema na Akina Lisu vs Anna kilango walitaka kupigana wanatoka mara? Hivi wale wenye Hasira hadi wanajinyonga huwa wanatoka Mara? Wahalifu wote waliopo Jela ni watu kutoka Mara?Umekosea. Ujinga wa hao si sifa wala utambulisho wa Musoma au Mara. Mbona kunawasitaarabu kibao tu toka huku. Mfano mimi Mwenyewe. MWL Nyerere. VICENT nyerere. KANGI LUGORA. NA WEEENGI
Ni kweli wakati Wao wanaongea Werema hakuomba mwongozo wa M/kiti wala hakuwaingilia ingilia alikaa kiimya hadi wakamaliza kuongea,tatizo lilianzia pale walipoanza kumwingilia ingilia ndipo akapoteza umakini kabsa ikawa Kama ilivyokuwa kwa Juma nkamia na Pia Peter Serukamba inapaswa Wabunge wawe wanavumilia kwanza Mtu amalize kuzungumza kisha wajibu kwa kufuata Kanuni, kinyume na hapo tutashuhudia Vioja zaidi ya hivi.Katika hali isiyokuwa ya kawaida bunge la asubuhi limemaliza kwa mvutano mkali baada ya Kafulila kuomba muongozo juu ya ESCROW na wizi uliofanyika.
Ndipo AG alipoitwa kutoa maelezo kwanza, alianza kushambulia vielelezo vya Kafulila kuwa ni vipeperushi tu hali hiyo ilipelekea Mnyika kudai kuhusu utaratibu lakini mwenyekiti [Zungu] akampotezea.
AG aliendelea kuonyesha ubabe na kumtaka Kafulila wakutane nje kama anamambo mengne ila bungeni kunautaratibu wake [walikuwa wakimwingilia wakati anazungumza wakionesha kutokubaliana naye].
Akazidi kupandwa na hasira akamwambia Kafulila wewe ni sawa na tumbili hasiyeweza kuamua mambo ya msituni [Msemo wa kijaluo kwa mujibu wa AG].
Kelele zikazidi mwenyekiti amehairisha bunge amemtaka Kafulila na Mnyika wapeleke ushahidi wao juu ya Escrow kwa CAG na PCCB.
Nadhani jioni kutazuka miongozo tena!
Nimeipenda sana style ya werema. Amempa kafulila za uso
Kafulila mpuuzi hana maadili, ndiyo maana alifukuzwa CDM.
Kwanza naona umemhukumu Werema kabla ya kutaka kujua nini chanzo cha yote hayo, kwa hakika Kama wale Wabunge wangekuwa watulivu wakasubili Werema amalize kuongea kwanza ndipo na wao wajibu hayo yote yasingetokea, Werema alikosa umakini baada ya kuingiliwa ingiliwa sana tambua yeye ni binadamu Kama wengine ambao nao wakizongwa wakati wanazungumza hughafrika cha Msingi wabunge wanapaswa wawe wanavumilia hadi mtu anamaliza kuongea kisha wao wanajibu kwa utulivu zaidi.werema hafai kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, kwanza hata utashi wa kazi hiyo, pili anaongea kabla ya kufikiri negative na positive impact ya anachoongea. ana hasira/jazba sana, labda kabila lao ndo walivyo.
This is very stupid hata za EPA JK alisema si zetu!! jamani jamani!! Ni sera za CCM kuiba chochote unachodhani hakina mwenyewe!!
Werema alitaka kujidhalilisha kwa kuvunja rekodi ya SUGU.
Werema ni kichwa balaa
Hispania kuna shabiki alirusha ndizi uwanjani kumkashifu mchezaji mweusi, amefungiwa maisha na kufunguliwa mashtaka kwa ubaguzi. Ngoja tuone huyu aliyemwita mwenzie tumbili Kama hatafungiwa kwa ubaguzi. Mbunge anafananishwa na tumbili wanachukulia poa.
Mifano yako inakifafa. Una- spin chadema. Toka hapa. Kuna mifano mizuri tu ya fujo na ukola nje ya mkoa wa Mara. Mfano. Aden Rage kupanda na Bastola jukwaani Igunga. Mizenguo Pinda kusema Wapigwe tu. Ka mama Makinda nakejeli zake. KOMBA NA misitu yake sa anauza kila kitu aende zake kwa KonyNi kweli kuteleza kwa Werema si kigezo cha Kuwahuku wana Mara wote tambua kila Mkoa,wilaya,kata,vijiji Tz kuna Watu wakorofi,wabaya nk , hv Yule Mkuu wa wilaya aliyechapa walimu bukoba anatoka Mara?Mh Sugu alianzisha varangati bungeni anatoka Mara, Lema na Akina Lisu vs Anna kilango walitaka kupigana wanatoka mara? Hivi wale wenye Hasira hadi wanajinyonga huwa wanatoka Mara? Wahalifu wote waliopo Jela ni watu kutoka Mara?
Sijui wangeachwa wazipige jinga werema angekwenda dakika ngapi na mtumbo wake huo!Tiba Pekee ni Kuandaa Pambano la ndondi Kati ya wale Wabunge wapinzani wa jadi angalau Serikali iingize Pesa kuliko malumbano kuishia hewani pasipo faida yeyote.