Sakata la Escrow: AG Werema amvaa Kafulila, Amwita tumbili asiyeweza amua mambo ya msituni

Sakata la Escrow: AG Werema amvaa Kafulila, Amwita tumbili asiyeweza amua mambo ya msituni

Taswira ya aina ya viongozi waliopo:


Waziri Mkuu: ‘Watakupiga tu, tena nasema wapige!'
Job Ndugai: ‘Mheshimiwa Mbowe toka nje!'
William Lukuvi: ‘Nchi itachukuliwa na Waislam wenye misimamo yakina Al Qaida'
Hatimaye Werema: ‘Dogo ngoja nije hapo nikufundishe adabu,tumbili wee!'
 
Werema alitaka kujidhalilisha kwa kuvunja rekodi ya SUGU.

Leo kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF mwaka 2007 nimekugongea like....umeifanya siku yangu iwe burudani sana kwa comment yako...kumbe unaonaga vitu unajitoaga fahamu
 
Wangeacha zipigwe mbili tatu kidogo heshima irudi

Spika aandae Pambano la Ndondi Kati ya Wale Wabunge wa Upande wa Mkono na Mengi VS wabunge wa Upande wa Prof Muhongo , pambano lifanyike Daimond watu waingie kwa Kiingilio angalau Serikali iingize Pato kuliko Haya Mapambano kuishia hewani na Serikali kukosa pesa.
 
Kafulila alimwambia WEREMA MWIZI baada ya yeye kuambiwa TUMBILI. Azuiliwa na mawaziri asitimize shambulio hilo jana bungeni.
Source magazeti ya leo: Mwananchi, Nipashe, Tanzania Daima, Mtanzania...

Bwa mdogo wapi kataka kumpiga ngumi?tukikuchukua utatoa ushahidi?
 
Wadhamani wapo wengi wanangojea Pambano la Ndondi Spika aandaa mapambano watu wajue nani zaidi kwenye nguvu za mikono na ni nani zaidi kwenye nguvu ya Mdomo kuchonga.
 
Kama Kikwete kakosa mtu wa kumpa u AG si ampe hata mwanae yule Mwanaasha kuliko hili zigo.
 
kati ya watu wachache nisiowaheshimu kiasi cha kushangaa na kusikitika kuwa wapo kati ya watanzania mil 45 ni huyu werema. ni mjinga -------- kiasi kwamba kuwa sehemu ya jamii yetu anatuambukiza upumbavu...huwa nashukuru mungu hajatokea kuwa mzazi wangu naamini ningeishamkataa live. hafai na ni kichefuchefu hili zee jinga.

Hatuwezi moja kwa moja kuita kitendo cha Werema ni kupandwa na hasira. Ni ujinga tu na kukosa busara. Yeye amekuwa akitukana wabunge, hasa wa upinzani kila siku, wapo kimyaa, wanamvumilia. Jana alianza yeye kumtukana Kafulila kwamba ni tumbili, ujinga, ujinga mtupu. Lakini kuna jambo, hawa wenzetu wa mkoa wa Mara balaa. Tujikumbushe....

WASSIRA: Mbali na kuwa na matusi huyu alibatizwa jina la Tyson mchana kweupe katika ofisi za MAELEZO, Dar alipomuwinda kama swala na hatimaye kumpiga Mhariri wa gazeti la DIRA ati kwa kuandika Wassira ni swahiba wa Mrema. Neno "swahiba" kwa Wassira akasema ni tusi na kuanza kumsaka na hatimaye kumpiga! MUSOMA hiyo!

MUHONGO: Huyu anaamini watu waliosoma hapa nchini ni wale waliosomea elimu ya miamba, mawe. Hutukana karibu kila anaposimama bungeni. MUSOMA hiyo!

WEREMA: Huyu ndo kiboko maana yeye huwa hata anafikia kujisifu "sisi watu wa Musoma". Matusi mtindo mmoja na kwa kutokemewa huko nyuma jana alifikia hatua ya kutaka kupigana bungeni. MUSOMA hiyo!

Jamii gani hii ya watu wa kufikia cheo cha Waziri ama Mwanasheria Mkuu ndimi zao zinatema matusi na kutaka kupigana? Wanadai ati huko kwao Musoma kupigana ama kutukana ni SIFA. SIFA???????? Kubwa jinga!
 
Werema hana akili kabisa. Afu mi naisi huyu jamaa ni mwizi kweli kwanini awe na jaziba sana
 
Hawa wote jamii moja!!! Leo huyu tumbili jioni mwenzake ngedere; keshokutwa tutasikia gengaheka...Wanasiasa wetu nadhani wana laana fulani....

Laana namba Moja na Kupuuza Usia wa Nyerere juu ya Kuhamia Dodoma ,sasa wamebaki wakitumia pesa nyingi kuishi Dodoma Kama wageni huku Madereva wao wakilipwa posho za Safari badala ya mishahara tu kwani walipaswa wahesabike wapo kazini, hii laana ya Kugoma kuhamia Dodoma imelikumba jiji la Dsm sasa uchumi unayumba saana kutokana na foleni kuzidi kila kukicha sambamba na Ongezeko la wahamiaji wa kila aina . Pesa nyingi zinatumika pasipo Sababu wakati muundo ungezingatiwa tungeweza kuepukana na Haya kisha pesa ikaelekezwa kujenga Hosptal na huduma zingine muhimu.
 
Hivi kauli ya serikali ni ya kauli ya bunge pia.sasa mbona serikali imeongea shudu bunge imekausha,it means bunge hii ishu haiwahusu ndo maana ina waachie PCCB na CAG?

Chezea CCM wewe. Pesa za uchaguzi hizo. Wabunge wa CCM nao ni wadau kwenye hilo dili. Piga kelele "uchomwe' na CCM
 
Back
Top Bottom